Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Ili kumsitiri bibi ata ukivaa tule twa kamba!mnataka tuvae za nini?
Ili kumsitiri bibi ata ukivaa tule twa kamba!mnataka tuvae za nini?
Isiwe taabu ukiona inakuwa mzigo vaa makhirikhiri ndo unakuwa umepunguza mzigio kabisa mtu wangu.Mi bado nazimind izo the so called hunder siiket nashauri ziendelee kuvaliwa kdaadek!Nguo zinashonwa na lining mkuu, hatuhitaji tena underskirt(inajulikana pia kama "kishida"). Bado zipo zinauzwa ila sio sana kama zamani. Pia tunavaa skintight so we don't need it, ni kujiongezea mzigo wa nguo tu.
Hata kama unazamu na Ngalikihinja leo toroka uje, nimekuletea zawadi kibao Malkia wangu.Kabisa my king, nilikumiss sana afadhali umerudi salama kwenye safari yako.
grafani11
Bado saaana...Kama Hiii Ndo Habar ya Town
Ndani ya dalada hayo mavitu ni ya kawaida kabisa mkuu. Nakumbuka enzi zile nasoma UDSM kuna wakati nikiwa idle nilikuwa napanda hiace mpaka mwenge na kurudi baadaye kwa ajili ya viburudisho kama hivyo tu.Kwenye daladala aina ya hiace nilimfuma mmoja wakati nakaa mbele nyuma ya dereva nikiangalia abiria, hakuvaa chupi kabisa kitu kipo pwaaa waaazi kabisa
Sasa watavaaje gagulo na skin tyt suruali au vimini...au ww unavaa chupi ya v.i.p bado?
Hii thread mbona inarudiwa kama wimbo wa marehemu.
Nime chunguza vyema kabisa nimebaini kwa wanawake hili vazi halivaliwi tena siku hizi hata madukani halipo kabisa sa sijui ndio mambo ya usasa au kushuka kwa maadili? labda niwaulize wadada wa MMU mnavaa gagulo kweli?
hahaahhaha lol...nkajua picha tyta tu..af nyekundu duuh..sijui mtu unavaaje hii
UtandaWAZI. Mambo yote yanawekwa wazi.
siwezi kutembea uchi
Nina umri wa mtu mzima wewe je?Una umri gani?
Ungekuwa na umri wa mtu mzima kweli usingeshindwa kufahamu magazeti ya ngurumo, mfanyakazi, kasheshe, sanifu nk. Aidha inaonekana umezaliwa mijini na kukulia mijini, ungekuwa umetembelea angalau robo ya nchi enzi hizo ungebaini kuna watu vijijini mpaka leo hii elimu ya matumizi sahihi ya kondom au hata taulo za kike kwao ni kitendawili, achilia mbali kuzipata.Nina umri wa mtu mzima wewe je?