Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
skin tight imechukua nafasi!
Wengine hata skintight hawavai kabisa, ni kachupi ka kishkaji - twende kazi.
skin tight imechukua nafasi!
chupi zenyewe zimenishinda??
nivae ili iweje ,kwani nguo hainisitiri?
Naona hujanipata vile wewe ni "wa siku hizi"
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Duh!kila anayemvua, hakuna underskirts.Akajua wote hawavaijoto limezidi so tumeacha kuvaa tunataka hewa.
kwanza umejuaje
mnataka tuvae za nini?Sio andasketi tu, Hata chupi siku hizi hawavai kabisa....
We unanitega?mnataka tuvae za nini?
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
smile, we wa ukweli...chupi zenyewe zimenishinda?? nivae ili iweje ,kwani nguo hainisitiri?
Mbona bado tunavaa??
Mie nimevaa ya kijani
UtandaWAZI. Mambo yote yanawekwa wazi.
Chupi zile zenye kujaza umbo lake lote ni kama nazo zinapitwa na wakati. Wameamia kwenye mabikini. Wanaficha mashavu tu Ooh Mungu wangu tunapoelekea
Skin jeans na gagulo wapi na wapi?