Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
hivi ukianguka ghafla utasema ulikuwa unajaladia nini eti?
hapooo chachaaa!
watuache tujibane sie tunakua
huru hata sarakasi tunapiga!
hivi ukianguka ghafla utasema ulikuwa unajaladia nini eti?
si ndio mnavyopenda jamani nyie kaka zetu?mpaka mkaliwe u.c.h..i ndio mnatangaza hadi ndoa! hahahhahahahah! nacheka mie jamani!
umetosa safari ya pasaka eeeh?<br />
<br />
Nitavaa underskirt na jeggings.. ...? halafu zinawasha ujue.....
atapofuka tu siku mojaHata mie niko puzzled.....ina maana kuwa jamaa ni gate keeper anayefunua kila mdau anayepita kwenye anga zake...lol!
Babu DC!
mimancho hiyo kwenye Avatar inatisha, hata ukikaa uchi dude langu halisimami ng'ooooooooooo!
Wapi? Katikati ya viganja vya mikono yako katika avata yako. Ha ha ha kazi kweli kwelihuku huku!
atapofuka tu siku moja
chupi zenyewe zimenishinda??
nivae ili iweje ,kwani nguo hainisitiri?
hahahahahahah!!!!!macho ya kurembua hayo wewe!!!!
Elli, zaman zilikua zinaonekana hata kwa bahati mbaya mpwa! Sema hata shemeji yako hana aisee! Nafkiri mara ya mwisho niliiona andasketi kwa my ex mwaka 2007!Mpwa hii research umeifanyia wapi ukajua hilo? mmmmh haya inawezekana ikawa na ukweli
...haaaaaa !!chupi zenyewe zimenishinda??
nivae ili iweje ,kwani nguo hainisitiri?
iyo avatar duh!si ndio mnavyopenda jamani nyie kaka zetu?mpaka mkaliwe u.c.h..i ndio mnatangaza hadi ndoa! hahahhahahahah! nacheka mie jamani!
chupi tu zimetushinda ujue! mimi free mahewa hapa!