Wadada mmeacha Kuvaa magagulo

Wadada mmeacha Kuvaa magagulo

nguo za siku hizi zinawekewa line sasa shumizi za nini?
mimi sina hata niliacha la kwanza nadhani
skintait sijawai kwa kweli
zinachubua huku
Huku wapi? Ha ha ha aha!
 
Akha! na joto lote hili gagulo la kazi gani, ninalo moja tu la emergency sikumbuki hata mara ya mwish nimelivaa lini

Uvaaji wenu ndo unatufanya wanaume tukose stimu za ku-doo kwa kuwa tunazoea kuangalia maumbo yenu ndani ya vinguo vyenu laini. Tuhurumie jamani wapendwa wetu!
 
nguo za siku hizi zinawekewa line sasa shumizi za nini?
mimi sina hata niliacha la kwanza nadhani
skintait sijawai kwa kweli
zinachubua huku

Utakuwa umekulia pwani na hadi sasa unaishi huko huko mikoa yenye joto sana. Kwako naweza kukubali kwa sababu ya hali ya hewa. Sasa unamkuta demu anaishi Bukoba / Mwanza, miji yenye hali nzuri ya hewa mwaka mzima eti naye anatembea bila chupi - kweli?
 
wadada wenyewe wanavaa suruali na skin jeans
hiyo gagulo itakaa kwa wapi!skintight na boxer pia
tunavaa,gagulo ya nini lol!
 
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???<br />
<br />
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
<br />
<br />

Nitavaa underskirt na jeggings.. ...? halafu zinawasha ujue.....
 
Sijui huko uliko, lakini kwa dar acha wasivae bana joto jingi
 
sasa wewe utajuaje kama hawavai wakati zinavaliwa kabla ya sketi!au huwa unawafunua sketi na kuzikosa!

Hata mie niko puzzled.....ina maana kuwa jamaa ni gate keeper anayefunua kila mdau anayepita kwenye anga zake...lol!

Babu DC!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom