wadada mkoje nyie? Mbona mnashindwa kujiamini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wadada mkoje nyie? Mbona mnashindwa kujiamini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Jan 7, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Kila story
  ukisimulia eti "ilimkuta
  rafiki yangu", ukitoa mfano
  "rafiki yangu", ukiomba
  ushauri, unajifanya
  unamuombea shost ako,,
  ebu kuwen smart na
  mjiamini, hivi hakuna
  yanayowakuta wenyewe?
  Kila m2 "kuna rafiki yangu
  alifanya hivi na vile" wewe
  je?
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Labda kwa vile sisi wanaume hatuaminiki kwao.
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kwa hili nitawatetea, kuna baadhi yetu humu badala ya kujadili jambo lililowekwa mbele yetu na mdada au kutoa ushauri, tunamjadili mtoa mada na kumdhalilisha wakati mwingine. Hii haiwezi kumfurahisha yeyote.........kwa hiyo kutumia third part wakati mwingine ni njia maridhawa katika kupata ushauri mzuri na wenye mantiki.
   
 4. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mie yangu huwa naweka hadharan yanapokunikuta na nashindwa kuyamudu,ila yale yaliyondan ya uwezo wangu au natumia watu wa karibu yangu namaliza tu na maisha yanaendelea!cjui kwa wengine vp ila naamin ili watu wakuelewe na kupata ushauri mzuri ni kuwa wazi bila kutumia nafsi ya mtu mwingine!
   
 5. s

  shalis JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kesho nitaweka thread yakunihusu mwenyewe . tumekusikia kaka
   
 6. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ila wapo wachache wanao jiamini, mfano: Big Lady kajitaja katika uzi wake.
   
 7. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  inawezekana ni kweli tunajificha nyuma ya third party lakini haimaanishi kuwa kila story inayomuelezea third party inamuhusu mtoa mada.sio kila mzungu padri
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hivi madoctor wote wa Mirembe wanachukuaga holiday kwa wakati mmoja?
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Wanawake wana siri nyingi sana sasa aje akubali kuitoa na kujisema mwenyewe mhh!binafsi kuna mambo huwa siwaelewi walivyoumbwa...ngoja tuwaache wenyewe labda waseme sasa
   
 10. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  toka JF mlivyoanza kutembeleana na kufahamiana, utamu na uzuri wa hoja zake ulikomea hapo. Kuoneana aya na aibu kumetawala sana hapa siku hizi. Nway sisemi kufahamiana ni mbaya, hapana
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Watu wengine bila kuwananga wanawake nadhani hua mnakosa raha sana. Wanaume wangapi wanakuja na mada za "mshkaji/rafiki yangu kapanda au kashuka" ??? Wao wanajiamini?
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Wanawake wana siri nyingi sana sasa aje akubali kuitoa na kujisema mwenyewe mhh!binafsi kuna mambo huwa siwaelewi walivyoumbwa...ngoja tuwaache wenyewe labda waseme sasa
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Mi kuna jambo sijalipenda hapa.Kwanza mtu kutumia nafsi ya tatu kuna ubaya gani?Pili kwani wewe inakuhusu nini?Iwe yeye,mjomba'e,mdogo wake au sijui nani inakuhusu?Toa ushauri kisha uchape lapa au funga mdomo!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,405
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu wana-bore sana
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mnawajua?? Au mna uhakika gani yamewatokea wao??? Talk by facts and not by statements of mere opinions!!
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wengi tu huwa wanajichanganya humu.
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kwanini udanganye lakini?
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Nashanga!! Kuna watu ni viazi kweli, sijui ndo ugumu wa maisha huo??
   
 19. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  ndo proffessionalism ya Watanzania
   
 20. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kinachokushangaza kitu gani? Ndivyo unavyoupima ugumu wa maisha hivyo? Pole sana
   
Loading...