wadada mkoje nyie? Mbona mnashindwa kujiamini

Kila story
ukisimulia eti "ilimkuta
rafiki yangu", ukitoa mfano
"rafiki yangu", ukiomba
ushauri, unajifanya
unamuombea shost ako,,
ebu kuwen smart na
mjiamini, hivi hakuna
yanayowakuta wenyewe?
Kila m2 "kuna rafiki yangu
alifanya hivi na vile" wewe
je?

Mwisho wa siku unachotakiwa ni kutoa ushauri, hutaki/huna ambaa!!! Wewe kama umekuja kusoma mtu flani yuko hivi ama vile, au alishawahi patwa ama kufanya jambo flani.......pole yako!!! Kwa nyongeza tu kama we umekuja kuchora wenzio.......IMEKULA KWAKO!!! Utapepesa sana macho jombaaa!
 
hapa suala kutumia third party ni la wote
wanaume na wanawake....
na mimi sioni tatizo lake....
 
Hivi utamjuaje kuwa mleta mada ni msichana au mvulana? Hapa cha msingi ni kutoa ushauri kwan hata akisema shost yang au ndugu yang kuna tatizo gani? Mi naona cha msingi ni ujumbe kufika au siyo wapendwa"
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom