Wadada mbona mnapenda sana kuhongwa?

Wadada mbona mnapenda sana kuhongwa?

akina dada hupenda sana kujishusha hadhi zao, na wamekariri kuwa kila mwanaume ana fedha ka za escrow, yani kuna kipindi unasema ngoja upoteze mawazo akili imechoka, unaingia ukianza chati nao wao wanakimbilia kirungu au kuanza taja matatizo yao,
 
Kweli you're so stupid coz unahonga kama unakufa kesho vile...na unapiga P ya hela yotee

kila kitu nahonga pacha pacha mpaka atasema hiki nini alafu naanza system mpya yakuhonga
 
akina dada hupenda sana kujishusha hadhi zao, na wamekariri kuwa kila mwanaume ana fedha ka za escrow, yani kuna kipindi unasema ngoja upoteze mawazo akili imechoka, unaingia ukianza chati nao wao wanakimbilia kirungu au kuanza taja matatizo yao,

Duuuh kwel roho zinawaumaga
 
Kikubwa kama anakupenda kwa dhati hawez kukupiga vizinga vya ajabu ajabu cz mwanaume c unajua majukumu yako ila sasa kwa hawa wa kudandiadandia ndio balaaaaaaaaa
 
Duuuh kwel roho zinawaumaga

we unadhani huwa tunaokota, tunahangaika zitafuta, lazima ziume, we mtu mnaongea mambo ya kawaida, hapo hapo anaanza matatizo yake wewe uwe problem solver, akishasema hivyo hanisikii tena
 
we unadhani huwa tunaokota, tunahangaika zitafuta, lazima ziume, we mtu mnaongea mambo ya kawaida, hapo hapo anaanza matatizo yake wewe uwe problem solver, akishasema hivyo hanisikii tena

Basi polen nilijua haiumiii
 
Basi polen nilijua haiumiii

kuna kitu kinaitwa timing, usikurupuke tu, muache kwanza baadae unamlia timing atakubali tu mwenyewe sio salamu ndani ya dk 5 ushaomba vocha, sijui sijalipa kodi ya nyumba, sijui nimekwama niko safarini sina hela ya kula, yametoka wapi yote hayo,
 
Back
Top Bottom