Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,622
- 28,562
Ndo hiyo kapewa na mzazi wake halafu ni ya wiki nzima kununua maandazi then ahonge? Miss chaga vipi?khee elfu kumi ukakimbia?
Ndo hiyo kapewa na mzazi wake halafu ni ya wiki nzima kununua maandazi then ahonge? Miss chaga vipi?khee elfu kumi ukakimbia?
safi tu mkuu.... kama hana uwezo wa kuhonga asitongozeNdo hiyo kapewa na mzazi wake halafu ni ya wiki nzima kununua maandazi then ahonge? Miss chaga vipi?
khee elfu kumi ukakimbia?
ninazo nyingi sanaWe unayo?
Zangu ninazo ila sina za bandia, kwani wewe boxer unahitaji na za bandia?
Kweli you're so stupid coz unahonga kama unakufa kesho vile...na unapiga P ya hela yotee
kila kitu nahonga pacha pacha mpaka atasema hiki nini alafu naanza system mpya yakuhonga
akina dada hupenda sana kujishusha hadhi zao, na wamekariri kuwa kila mwanaume ana fedha ka za escrow, yani kuna kipindi unasema ngoja upoteze mawazo akili imechoka, unaingia ukianza chati nao wao wanakimbilia kirungu au kuanza taja matatizo yao,
eeeeeeh nataka za bandia kama wewe maana zinafanya nanionooo ikue
Duuuh kwel roho zinawaumaga
Ikikua itaniumiza bwana, ibaki hivyo hivyo.
we unadhani huwa tunaokota, tunahangaika zitafuta, lazima ziume, we mtu mnaongea mambo ya kawaida, hapo hapo anaanza matatizo yake wewe uwe problem solver, akishasema hivyo hanisikii tena
Basi polen nilijua haiumiii
Mamy mambo? Miss you
Miss you too, ulipotelea wapi?
Ikikua itaniumiza bwana, ibaki hivyo hivyo.
Anza kwangu puliziiii