miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
naomba nifunde basi how?Mwanaume rijali huwa hatoi hela anapohitaji mambo kutoka kwenu ila ila maneno matamu tu unakula mzigo as usual.
naomba nifunde basi how?Mwanaume rijali huwa hatoi hela anapohitaji mambo kutoka kwenu ila ila maneno matamu tu unakula mzigo as usual.
naomba nifunde basi how?
Jamani juzi nilikua napita zangu kwenye mtandao wa badoo, mara nakutana binti mmoja baada ya salaam tuu eti anaomba elfu kumi then tuonane, nikamwambia kwa sasa sina maybe next tym. Hapo akachukia hadi text hajibu tena, wadada tuoneeni huruma.
Nawasilisha
Sasa wewe ni mwanamke ntakufundaje namna tunavyowapa maneno matamu wanawake?omba usikutane namimi live ukichomoa sound zangu basi najiuzulu kutongo.z.a kabisa.
Hata wewe unaonekana una mchecheto wa kuhonga
Jamani juzi nilikua napita zangu kwenye mtandao wa badoo, mara nakutana binti mmoja baada ya salaam tuu eti anaomba elfu kumi then tuonane, nikamwambia kwa sasa sina maybe next tym. Hapo akachukia hadi text hajibu tena, wadada tuoneeni huruma
Sasa wewe ni mwanamke ntakufundaje namna tunavyowapa maneno matamu wanawake?omba usikutane namimi live ukichomoa sound zangu basi najiuzulu kutongo.z.a kabisa.
Mhhhh....
I missed you too love,majukumu yalikuwa yamenitinga mamy,na nitapotea tena si baada ya muda mrefu....Ahsante kwa kunikumbuka it means a lot :busuWelcome back gorgeous. Ulipotea humu sijakuona mda.tulimiss mawaidha.
Habari za asubuhi.
Hazbendi saa yako inarudi kinyumenyume?
Wapi mama, umesahau kuwa kila nikikuona huwa network inakata...!? Mapenzi tu ndo yamenizidi.
Lazma mtuhonge bhana nyie mnategemea tutumie tuu mishahara yetu kupendeza?...
Na nyie mkiwa wapiii?
We ulitaka wapende nini??
nitakuonga ndio ila na wewe uwe unanohonga hiyo kitu ya katikati ya mapaja chini ya kitovu bila mvutano