Wadada mbona mnapenda sana kuhongwa?

Wadada mbona mnapenda sana kuhongwa?

mchecheto

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
1,532
Reaction score
1,479
Jamani juzi nilikua napita zangu kwenye mtandao wa badoo, mara nakutana binti mmoja baada ya salaam tuu eti anaomba elfu kumi then tuonane, nikamwambia kwa sasa sina maybe next tym. Hapo akachukia hadi text hajibu tena, wadada tuoneeni huruma.

Nawasilisha
 
We ulitaka atoe nini????
Au ndo ulikuwa wewe nini????
 
Kama upo na girlfrnd ama mke wacha tabia ya kutongoza tongoza ovyo utaona jinsi mapenzi yanaongezeka kwa huyo mmoja ulionae na hutajuta kumkabidhi hata funguo ya gari kama uwezo unaruhusu maana utagundua ndio mtu wa thaman sana kwako....Ila kama wewe ni kijana na unatafuta mke yawezekana ukawa na wasichana zaidi ya mmoja na usijutie kutumia pesa hapo kwani upo field study ...
 
unataka kucht naye wakati bundle wamenuna wengine?
 
Back
Top Bottom