Wadada mbona mnapenda sana kuhongwa?

Wadada mbona mnapenda sana kuhongwa?

Khaaaah!! Acha ubahiri bwana.

sio ubahiri atoto ila siku hizi machale yametucheza mkitosheka mnakimbiaga bila kuaga na mitusi juu , kama mtu una moyo mwepesi unaweza kujinyonga au kunyonga mtu
 
Last edited by a moderator:
sio ubahiri atoto ila siku hizi machale yametucheza mkitosheka mnakimbiaga bila kuaga na mitusi juu , kama mtu una moyo mwepesi unaweza kujinyonga au kunyonga mtu

Hamna bwana, mtupe tu hizo hela maana hamna namna.
 
Last edited by a moderator:
We nae siku akikupa ichape kwa hasira hadi akimbie
 
I missed you too love,majukumu yalikuwa yamenitinga mamy,na nitapotea tena si baada ya muda mrefu....Ahsante kwa kunikumbuka it means a lot :busu

Powley kwa majukum wang.ndo maisha lakin.fresh tuu ka unakuja kutusalim ukipata chance.ivo ivo tutaenda tuu.the best kwenye hizo hustle.one love.
 
Hamna bwana, mtupe tu hizo hela maana hamna namna.

ni kweli ila inauma maana nyie amkawii kubadilika kama kinyonga ila tuwe tunapena bhana hata sisi tunatamanigi kuongwa si unajua pesa za mpenzi tamu
 
ni kweli ila inauma maana nyie amkawii kubadilika kama kinyonga ila tuwe tunapena bhana hata sisi tunatamanigi kuongwa si unajua pesa za mpenzi tamu

Uwiiii si nitaumwa magonjwa yasiyo na tiba!! Pesa za mwanamke hata hazinogi kabisaaaaa, ila za mwanaume sasa!! Yaani tamu hizo!
 
cute b nimekumiss wewe videadly mamito
nashangaa watu wanapata maumivu
nakupendaga wewe kibeib wangu you know how to share and the rule of two way traffic yaan hata siumii kukupa wasi siiti kuonga maana na wewe unanipaga
 
Last edited by a moderator:
Duu! Na bahati nzuli kwangu , sa demu akitanguliza kuniomba hela Marachache huaga siwafikiriagi niwe nae,
Kuna wapo unachart nae mpaka mnaonana haombi cha hela wala nini hapo ndo napata shauku ya mie kunzawadia mihela , napenda mademu wanaojishughulisha!!! Loves all
 
Uwiiii si nitaumwa magonjwa yasiyo na tiba!! Pesa za mwanamke hata hazinogi kabisaaaaa, ila za mwanaume sasa!! Yaani tamu hizo!

alafu kinachouma zaidi nakupa pesa unaenda kutumia na ----- mmoja hivi haki ya mama lazima nikutafute hata kwa .........
 
cute b nimekumiss wewe videadly mamito
nashangaa watu wanapata maumivu
nakupendaga wewe kibeib wangu you know how to share and the rule of two way traffic yaan hata siumii kukupa wasi siiti kuonga maana na wewe unanipaga

Hahahaaaaa yaan wew
 
Last edited by a moderator:
Mschana yeyote mwenye tabia ya kuomba
Omba hela tambua kuwa Ni Malaya,
Mschana anayejitambua hawez kuwa
Tabia km hizo hata awe na shida.
 
Back
Top Bottom