miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
nimekutisha eeeh?Totoo umetishaa
nimekutisha eeeh?Totoo umetishaa
Mschana yeyote mwenye tabia ya kuomba
Omba hela tambua kuwa Ni Malaya,
Mschana anayejitambua hawez kuwa
Tabia km hizo hata awe na shida.
duh sawa bwanaDalili ya mvua ni mawingu
Beby unaanzaje kuumia na akati unanipenda? Kupenda raha jaman unahonga tuu ata huumiii
Na kwanini usubiri uombwe?? Toa tu bwana kupunguza bugudha za kuombana ombana bwana.
alafu kinachouma zaidi nakupa pesa unaenda kutumia na ----- mmoja hivi haki ya mama lazima nikutafute hata kwa .........
tatizo lenu atoto mnashindwa kujua uwezo wa mtu wa kuhonga sasa mtu ana uwezo wa buku la ndorobo wewe unamuomba akuhonge murano kama #diamondplatinum ndio maana sometimes inahuma mnashindwa kusoma hali
Aah sasa hadi matumizi yake unanipangia? We inatakiwa unipe tu, habari za kufuatilia nimeituaje ni umbea huo.
ha ha nimekumiss lakini.. ule mtandao hauwezi kuharibikaWanatuharibia ule mtandao wetu pendwa.
tatizo sio umbea ila wengine uchumi umetuharibu ni lazima nipate mrejesho sio nakua nahishi na mwanamke kama #chumaulete
alafu sio kukupenda tu am stupid in love kabisaa
Mschana yeyote mwenye tabia ya kuomba
Omba hela tambua kuwa Ni Malaya,
Mschana anayejitambua hawez kuwa
Tabia km hizo hata awe na shida.
Duuuh buku nayo unaihesabu umehonga!!! Kweli kazi tunayo jamani!!!
If so fuata atakayekubali kuhongwa hiyo buku huyo wa size ya murano waachie wenye uwezo huo, hivyo tuu yaani hata haya malalamiko yasingekuwepo, nawe mwanaume kwanini usiwe na pesa sasa!!!
sasa wewe hata boxers tu haujawai kuninunulia ila unataka wewe tu kuweni wajanja muwe mnawekeza kama hisa
Nikununulie boxer kwani huna?
kwani unavyotaka nikununulie nywele za bandia kwani zako hauna si raha tu kutumia kitu ulichonunuliwa na mupenzi