Uke ni self cleanliness organ jaman unasafisha juu na maji saf kujisokomeza madole ni kusababisha kuwaondoa wale bacteria wazuri walinzi wa uke mwishowe mpate fangas na mengneyo n kujiweka safi kuvaa chupi zisizobana zwe cotton na kav msianike vyupi bafuni anika juani ikipid ipge pasi ikikauka.
Ndiyo hayo hayo mashavu tunayozungumzia mkuu, manake kuna mdau kasema yaani hugusi k kabisa ukienda kuoga!
Vipi bidada, wewe unafanya hayo? Je, wanaume hawajawahi kukukimbia kwa harufu? Ikiwa jibu ni ndio basi namna hiyo ya kujisafi inafanya kazi.
Haha hahaha, mkuu ile harufu nashindwa nilinganishe na nini. Panya alooza ni afadhali. Jinga sana yule mwanamke yaani sipendi hata kukumbuka. Usiombe yakukute.
Nipe simu yake, mimi hao ndio nnaowapenda. Halafu ukute K inamaji mengi, halooo hadi raha
Nakushauri achana na wanawake...
Heri utumie revola tu ili kuepuka kero
**** hainukagi,ikinuka maana yake inaumwa ugonjwa wa zinaa.
Mkuu Kuna **** nyingine zinanuka balaa yan ukishapiga bao la kwanza kutafuta bao la pili inakuwaje ni shida sana
ukimpata wa hivyo mwambie aioshe na apake mafuta ya nazi.
kwa iyo mkuu rubii unataka kuniambia mafuta ya nazi ni dawa eeh!!
Pole sana Kwa yaliyokukuta Mkuu.
kwani ni ya kweli hayo aliosema...
Mudi yake kwa Jinsi alivyoandika ni Kama ndo katoka kukutana na hiyo hali.