Wadada kuweni wasafi jamani!

Dear uko very perfect...kujisafisha kwa vidole muhimu ili utoe uchafu na mabaki mabaki...sawa sawa na mtu anaweka colgate mdomoni, atie maji afu ateme bila kupiga mswaki! Hapo meno yametakata kweli?
 
Dear uko very perfect...kujisafisha kwa vidole muhimu ili utoe uchafu na mabaki mabaki...sawa sawa na mtu anaweka colgate mdomoni, atie maji afu ateme bila kupiga mswaki! Hapo meno yametakata kweli?

Kwani tumboni huwa wanaingiza kidole kusafisha utumbo? Kuna jisafisha kwenyewe kiafya siyo kabisa ndo maana UTI na fungus zinakuwa sugu sana
 
K yenye afya huhitaji kuisokomeza midole.....ni kuhakikisha mashavu yapo safi...

Ukiona k inatoa harufu au uchafu wahi hospitali kucheki ma fungus uti candida na mengineyo
 
K yenye afya huhitaji kuisokomeza midole.....ni kuhakikisha mashavu yapo safi...

Ukiona k inatoa harufu au uchafu wahi hospitali kucheki ma fungus uti candida na mengineyo

Ndiyo hayo hayo mashavu tunayozungumzia mkuu, manake kuna mdau kasema yaani hugusi k kabisa ukienda kuoga!
 
Ndiyo hayo hayo mashavu tunayozungumzia mkuu, manake kuna mdau kasema yaani hugusi k kabisa ukienda kuoga!

Kama ni mashavu sawa yasafishwe...

Ila ujue kuna wale wanaochokonoa k yenyewe na kidole...tena anakwambia anachuchumaa kabisa kwa nafasi busy kuchokonoa

Mweh
 
Ndiyo hayo hayo mashavu tunayozungumzia mkuu, manake kuna mdau kasema yaani hugusi k kabisa ukienda kuoga!

Siyo Atoto pekee anayeona usafi wa papuchi ni automatic, wahanga wa tatizo la mtoa mada wapo wengi sana humu.
 
Mlete nimfundishe jinsi ya kuiosha na kuinyoa kila baada ya siku 2 utampenda tuu
 
Eeeeewaaaa.....
 
Mi niliwahi kukimbia demu mmoja wa namna hiyo kabla hata sijachomeka mkuki, alichukia lakini nilikuwa sina jinsi maana stimu ilikatika ghafla mara alipovua pichu.
 
Uke ni self cleanliness organ jaman unasafisha juu na maji saf kujisokomeza madole ni kusababisha kuwaondoa wale bacteria wazuri walinzi wa uke mwishowe mpate fangas na mengneyo n kujiweka safi kuvaa chupi zisizobana zwe cotton na kav msianike vyupi bafuni anika juani ikipid ipge pasi ikikauka.
 
Kuna mambo mengi sio kukosa usafi tu ndio sababu. Kuna magonjwa. Tumia mic kwenye tafrija ya nyumbani tu sio tafrija zote
 
Kuna mambo mengi sio kukosa usafi tu ndio sababu. Kuna magonjwa. Tumia mic kwenye tafrija ya nyumbani tu sio tafrija zote

Sijaelewa....Mic...tafrija...nyumbani
 
Ha ha ha duh pole sana mkuu! Wacha utapike.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…