ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 366
kuna dada moja hajielewi juu ya kuchagua mchumba kwani anao kama watano,wote wanaleta mahitaji mbalimbali kama pesa ya ma2mizi,vocha.Wote wanapata huduma ya tunda kwa muda tofauti.wengine hupata uduma hiyo wakiwa pale chuo bila kujijua kama wana wenzao palepale,wengine hupewa kipindi cha likizo.Tatizo wote wanampango wa kumuoa endapo akimaliza chuo mwezi 6.je afanyeje?na wote anawapenda?