Wadada kuweni na misimamo.

Wadada kuweni na misimamo.

huwa najiuliza mtu unawezaje kuwa na wapenzi wawili kwa wakati mmoja na wasijuane.
ni kipaji aisee mimi nitashikwa siku hiyohiyo,watu wanavokaba kwanza? khaaaa kuna watu wana vipaji

Duh mi mwenyewe nimeshangaaa,, watano na usikamatwe hao watu wanakaba vipi? In modern world style za ukabaji zimebadilika kila sehemu tunatumia Zonal marking ambayo ni kali kuliko man to man marking,,,

Marking zinafanyika kwenye zones, so huyo dada hata awe mjanja vipi when it comes to zonal marking che can't escape all defenders,,,
 
kuna dada moja hajielewi juu ya kuchagua mchumba kwani anao kama watano,wote wanaleta mahitaji mbalimbali kama pesa ya ma2mizi,vocha.Wote wanapata huduma ya tunda kwa muda tofauti.wengine hupata uduma hiyo wakiwa pale chuo bila kujijua kama wana wenzao palepale,wengine hupewa kipindi cha likizo.Tatizo wote wanampango wa kumuoa endapo akimaliza chuo mwezi 6.je afanyeje?na wote anawapenda?
we mtu au na wewe ni mmoja wa wanafoleni mbona inakuuma sana
 
Duh mi mwenyewe nimeshangaaa,, watano na usikamatwe hao watu wanakaba vipi? In modern world style za ukabaji zimebadilika kila sehemu tunatumia Zonal marking ambayo ni kali kuliko man to man marking,,,

Marking zinafanyika kwenye zones, so huyo dada hata awe mjanja vipi when it comes to zonal marking che can't escape all defenders,,,
HIYO ZONAL MARKING IPOJE BWANA HARUSI WETU? MIMI SIJUI KUPRETEND KIUKWELI SO SIWEZI KUCHEZA HILI GEMU EVEN THO NAONA LINALIPA,MAISHA YALIVO MAGUMU ,UNAPATA TIMU YAKO ,HUYU GARI ,HUYU KODI YA NYUMBA,HUYU SALUNI,YULE SHOPING RAHA SANA AISEE SIO MTOTO WA KIKE NAKIMBIZANA NA MABILL MJINI HAPA JAN TO DEC ! UCHUMI SINA AU WAPI KUNGWI lara 1 anipe maujanja?
 
Last edited by a moderator:
kuna dada moja hajielewi juu ya kuchagua mchumba kwani anao kama watano,wote wanaleta mahitaji mbalimbali kama pesa ya ma2mizi,vocha.Wote wanapata huduma ya tunda kwa muda tofauti.wengine hupata uduma hiyo wakiwa pale chuo bila kujijua kama wana wenzao palepale,wengine hupewa kipindi cha likizo.Tatizo wote wanampango wa kumuoa endapo akimaliza chuo mwezi 6.je afanyeje?na wote anawapenda?

kama anawapenda wote aogeze wawili wawe saba kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom