Hahahahahaa..!!!Wadada mnajitahidi kupendeza ktk vivazi vyenu vinavyoonyesha maungo yenu kwa hilo tunafurahi binsfsi ningependa mtembee uchi nifaidike zaidi tatizo nikiwaona ndugu zangu nakereka sana.
JARIBU KUANGALIA MASIKIO YENU MACHAFU KAMA MIZINGA YA NYUKI NA KATI YA WANAWAKE KUMI SABA HAWAJUI KUSAFISHA NA HILO NIMELITHIBITISHA.
Inasikitisha mdada mzuri umependeza nywele za laki kucha za 20000 na gold ya 100000 unashindwa kununua vijiti shilingi 500 masikio kama mzinga wa nyuki.
Mkuu samahani, nose hair umemaanisha nywele za puani bila shaka, Kwani zile nazo unazitoa? Si hatari?
Sidhani kama hili ni salama (kwa mtazamo wangu). Labda kama nywele zile zinakuletea madhara fulani.
Sidhani kama hili ni salama (kwa mtazamo wangu). Labda kama nywele zile zinakuletea madhara fulani.
Sawa mkuu.Najua ni salama kabisa [kwa uzoefu wangu].
Sasa linganisha uzoefu na mtazamo.
Mara 10 kati ya 10 nitachagua uzoefu.
haya umesikika naona jasho LA mdomoni linavyokumwagika pole sanaKundule wapi wewe... Acheni uchafu bana...
Makwapa mchafu..
**** chafu..
TiGo chafu..
Manywele ya maiti kichwani yananuka madawa..
Hata masikio????
Pumbavv kabisa!!!
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Nimewahesabu
Acheni uchafu bana... Mpaka mthibitishiwe????
Kwann mnakua wachafu hivo nyie wanawake!!!
Masikioni nta, makwapa msitu, kwenye **** mavuzzzz yaani kila sehem uchafu tuu...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Nilichungulia nilivo ona inta na ham ikaishaHehehhehehe....
Yamekukuta eeh?
Tangu ulivyoambiwa mwanamke ukimnyonya sikio hata kama alikuwa hana mpango wa kuvua chupi lazma avue..
Basi ukashika njia kwenda kuzamisha sikio ni sikio...
Ha ha ha Jana inaonyesha umekutana na NTA ..
Teh teh na insvyokuwaga chunguuu...
Poleee
Asante sana kaka,ungekuwa karibu ningekupa zawadi,mbaya zaidi wanaona kwa kuanika hivi ndo wanaonekana vidume.Here we go again. Hivi wanaume hatuwezi kuwakalisha wapenzi wetu na kuwarekebisha bila kuja kuwaanika humu?
HA HA HA HA HA sio nimeanza ukitumia hilo neno utakuwa hunitendei hakiUmemuelewa nadhani mojawpo Leo umeanza kubadirika.