Wadada jirekebisheni mna bore uchafu umewazidi

Wadada jirekebisheni mna bore uchafu umewazidi

naona mnajitetea tu........kitu chochote kikizidi huwa ni uchafu
Mkuu
Inasikitisha sasa huyu walau jf je asiye fahamu chochote ndio uone tatizo kubwa kiasi gani?
 
kwa taarifa yako ule utando wa kwenye sikio sio uchafu babu eeh .ulikimbia biology eeh ? njoo na jingine hapo umedhihirisha ujinga wako
ebu tupe somo kwanza la kulalia.... ule utando makion ni material gan haswaa!
 
Wadada mnajitahidi kupendeza ktk vivazi vyenu vinavyoonyesha maungo yenu kwa hilo tunafurahi binsfsi ningependa mtembee uchi nifaidike zaidi tatizo nikiwaona ndugu zangu nakereka sana.

JARIBU KUANGALIA MASIKIO YENU MACHAFU KAMA MIZINGA YA NYUKI NA KATI YA WANAWAKE KUMI SABA HAWAJUI KUSAFISHA NA HILO NIMELITHIBITISHA.

Inasikitisha mdada mzuri umependeza nywele za laki kucha za 20000 na gold ya 100000 unashindwa kununua vijiti shilingi 500 masikio kama mzinga wa nyuki.
wanawake wengi wa siku hizi hususani hawa wa kitanzania wana matatizo kwenye bongo zao.

huwa nawaonea gere sana wazee wangu waliooa zamani, walikuwa wanaoa wanawake haswa wenye akili, shupavu, wasafi, wavumilivu, waaminifu wasioyumbishwa misimamo yao na tamaa ndogo ndogo.

ama hakika wale ndio walikuwa wanawake wa shoka na sio wajinga wajinga, wachafu,watembea uchi, wabaguzi na wanaokimbia uafrika wao kama hii mijanamke ya siku hizi.

kuna mmoja nilikutana nae ndani ya gari hivi karibuni sijui alikuwa na miezi mingapi hajaosha bichwa lake, yaani alikuwa ananuka kama mzoga wa mbwa mpaka akanipa kikohozi cha ghafla na wigi lenyewe alilokuwa nalo kichwani sasa, kwanza chafuu alafu bayaa utadhani dodoki la kuogea. kuna mijitu mingine ukikutana nayo inakuchafua macho mpaka roho.
 
Grooming . ..Grooming . ..Grooming

Mnyoage na makwapa yenu bana.

Na huko chini mnyoage pia.

Nose hair nazo ni bonge la turn-off .
 
Mkuu ulinyonya sikio ukakutana na mtoki wa usaha pole sana
 
Umethibitisha kwa njia gani hadi kupata ratio ya 10:7?
 
Here we go again. Hivi wanaume hatuwezi kuwakalisha wapenzi wetu na kuwarekebisha bila kuja kuwaanika humu?
 
Hongera sana wanawake wa Kisukuma kwa kuwa na utando masikioni.
Ule si uchafu,Mungu kaumba kila kitu mwilini kina kazi,Hata "mavuzi" yana kazi yake,hiyo nta inazuia vumbi na wadudu wasiharibu ngoma ya sikio.

Mimi mwenyewe sitoagi hiyo nta.
Pole mleta mada najua uliishia lasaba hujui bayoloji
 
Upo sahihi Mkuu hawa madada sio wa kuchungulia sikion unaweza tapika asa sijui huwa wanayasahau au wanahsi hayaonekani duuuu jilekebisheni bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom