wanawake wengi wa siku hizi hususani hawa wa kitanzania wana matatizo kwenye bongo zao.
huwa nawaonea gere sana wazee wangu waliooa zamani, walikuwa wanaoa wanawake haswa wenye akili, shupavu, wasafi, wavumilivu, waaminifu wasioyumbishwa misimamo yao na tamaa ndogo ndogo.
ama hakika wale ndio walikuwa wanawake wa shoka na sio wajinga wajinga, wachafu,watembea uchi, wabaguzi na wanaokimbia uafrika wao kama hii mijanamke ya siku hizi.
kuna mmoja nilikutana nae ndani ya gari hivi karibuni sijui alikuwa na miezi mingapi hajaosha bichwa lake, yaani alikuwa ananuka kama mzoga wa mbwa mpaka akanipa kikohozi cha ghafla na wigi lenyewe alilokuwa nalo kichwani sasa, kwanza chafuu alafu bayaa utadhani dodoki la kuogea. kuna mijitu mingine ukikutana nayo inakuchafua macho mpaka roho.