mh kuna kitu hapa, samahani lakini mkuu unaweza kunidadavulia hicho cha kwenye masikiokwa taarifa yako ule utando wa kwenye sikio sio uchafu babu eeh .ulikimbia biology eeh ? njoo na jingine hapo umedhihirisha ujinga wako
mh kuna kitu hapa, samahani lakini mkuu unaweza kunidadavulia hicho cha kwenye masikio
Tena wanaume ndo kabisaaaaWanawake mbalimbali huu usafi wa masikio hawajui
Ujinga unakusumbua broo! Ule mnato au mafuta yaliyopo sikioni yanazuia wadudu kuingia sikioni yaani wakiingia tu wananasa, na hiyo pia hutokea pindi ngoma inapokuwa kavu, mafuta hayo ni muhimu kulainisha ule utepe, la sivyo unapata magonjwa ya sikio. NA Ukisafisha mara kwa mara mwili unachanganyikiwa mwisho wa siku ile oil inakata kutoka, then sikio litauma sana,hadi uanze kunyunyiza mafuta.Ni ukweli stanii
unaweza kumtapikia kifuani.Yani wana bore sana bahati mbaya mkutane kwa mwendo kasi jioni aamshe kwapa kushika bomba na manywele ya maiti yakukaribie yani bora harufu ya choo cha baa
chief umekosea kidogo... nilikuwa namuhoji miss natafuta ule utando unasaidia nn?!Material gani wapi... Mauchafu tu yale...
Mwisho mtasema na Makamasi yanalinda pua, muwe mnayaacha tuu...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kweli kabisa na huwa hatutilii maanani usafi wa masikio nashukuru sana mtoa maada umenikumbusha kitu muhimu sana be blessedWanawake mbalimbali huu usafi wa masikio hawajui
Mkuu samahani, nose hair umemaanisha nywele za puani bila shaka, Kwani zile nazo unazitoa? Si hatari?Grooming . ..Grooming . ..Grooming
Mnyoage na makwapa yenu bana.
Na huko chini mnyoage pia.
Nose hair nazo ni bonge la turn-off .
endelea kuufuga huo utando kama hujawa kiziwi. Kitu kikiwa na umuhimu haimaanishi hakitakiwi kutolewa endapo kitakua kimepita kiwango kinachostahili kuwepo.. They say too much is harmfulule utando siyo uchafu, masikioni kuna nta inazuia vumbi na lisiingie sikioni moja kwa moja, puani kuna kamasi kazi zake ni zilezile hata ukeni kuna maji maji yanayoulinda
chief umekosea kidogo... nilikuwa namuhoji miss natafuta ule utando unasaidia nn?!
torvic=me
nyani haoni kundule
Ujinga unakusumbua broo! Ule mnato au mafuta yaliyopo sikioni yanazuia wadudu kuingia sikioni yaani wakiingia tu wananasa, na hiyo pia hutokea pindi ngoma inapokuwa kavu, mafuta hayo ni muhimu kulainisha ule utepe, la sivyo unapata magonjwa ya sikio. NA Ukisafisha mara kwa mara mwili unachanganyikiwa mwisho wa siku ile oil inakata kutoka, then sikio litauma sana,hadi uanze kunyunyiza mafuta.
Tufike mahali tukue kidogo