Wadada jirekebisheni mna bore uchafu umewazidi

Ww ulikua unafanya nn kwenye masikio ya hao wadada...
Then huo sio uchafu hio protection agnist vumbi... Hio ni nta maalum ya kulinda ngoma ya sikio...
Usijifanye msafi sana kwenye vitu vingine ambavyo havihitaji kusafishwa....
Usiyasafishe kila saa masikio yako baadae yatakuletea shida..
"point yangu ya mwisho usipende kuchungulia vitu visivyokuhusu vya maduu" kama umekukera toa huo uchaf kwa ulimi.. Mbona ni kawaida tuu
 
Asante sana kaka,ungekuwa karibu ningekupa zawadi,mbaya zaidi wanaona kwa kuanika hivi ndo wanaonekana vidume.
Mbona sisi tunavumilia vizuri tena bila kuwakwaza tunawasaidi tunawanyia hayo yanayotukera.
Kaka mleta mada vunja ukimya ongea na mpenzi wako kuliko kuja kugeneralize watu kwa tafiti zenu.
Si kila mwanamke nikikutana nae ni mpenzi wangu
 
Ww ulikua unafanya nn kwenye masikio ya hao wadada...
Then huo sio uchafu hio protection agnist vumbi... Hio ni nta maalum ya kulinda ngoma ya sikio...
Usijifanye msafi sana kwenye vitu vingine ambavyo havihitaji kusafishwa....
Usiyasafishe kila saa masikio yako baadae yatakuletea shida..
"point yangu ya mwisho usipende kuchungulia vitu visivyokuhusu vya maduu" kama umekukera toa huo uchaf kwa ulimi.. Mbona ni kawaida tuu
Mkuu unaujua uchungu wa mwarobaini !
Raha kunako 6x6 lazima kila mlango wa fahamu uhisi mabadiriko
 
Asante sana kaka,ungekuwa karibu ningekupa zawadi,mbaya zaidi wanaona kwa kuanika hivi ndo wanaonekana vidume.
Mbona sisi tunavumilia vizuri tena bila kuwakwaza tunawasaidi tunawanyia hayo yanayotukera.
Kaka mleta mada vunja ukimya ongea na mpenzi wako kuliko kuja kugeneralize watu kwa tafiti zenu.
Usijali Dada, unaweza kunitumia tu huyo zawadi Kwa Western Union,Dhl,FedEx, Paypal na hata Kwa Cheque,ni wewe tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ! Joking!
On a serious note: Mambo mengine ni awkward sana kuyafanya kuwa habari ya kuitangaza hadharani.
 
Cheki huyu naye sijui umekula MAHARAGWE YA WAPI WEWE!!!

We ni mwanaume wa mikoani nini!!!!
Wapi mtoa mada kasema anamsema mwanamke wake.....
Amekwambia wanawake wengi ni wachafu!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Jiheshimu, umejua kiswahili kidogo unaanza kuleta ujuaji na kujifanya umehama Arusha na kuwa Mdsm. Toa hoja kistaarabu,kila MTU anaiweza lugha mbovu,grow up!
Tukirudi kwenye mada: kuna mahala niliposema mleta mada anamzungumzia mwenzi wake specific? Kauli niliyoitumia ni general kama mada yake ilivyo huku nikiongezea uwezekano Wa yeye kuwa anazungumza kutokana na experience yake binafsi,marafiki n.k ndio maana nikasema wenzi wetu na sio mwenzi wake. Upo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante sana kaka,ungekuwa karibu ningekupa zawadi,mbaya zaidi wanaona kwa kuanika hivi ndo wanaonekana vidume.
Mbona sisi tunavumilia vizuri tena bila kuwakwaza tunawasaidi tunawanyia hayo yanayotukera.
Kaka mleta mada vunja ukimya ongea na mpenzi wako kuliko kuja kugeneralize watu kwa tafiti zenu.

*tunawasaidi????
*tunawanyia????

Kuongea kwenyewe hujui... Mwanamke gani sasa wewe!!

ACHENI UJINGA wa kufuga ma nta masikioni bana.... Unakuta mwanamke kabebelea limkoba kwapa nje msitu.. Minywele ya bandia inanuka madawa kama maiti... MA nta yamejaa masikioni mpaka yanalendemka...

Kubabake acheni uchafu bana wanawake... Khaaa!!
Tutaacha KUWAGONGA ohooo!!!

Tuaacha KUWAGONGA ohooo!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Najua umeelewa,
Anyway kuja kuongea huku haiwafanyi hao watu mnaokutana nao kubadilika,kma hamuongei nao
 
Jiheshimu, umejua kiswahili kidogo unaanza kuleta ujuaji na kujifanya umehama Arusha na kuwa Mdsm. Toa hoja kistaarabu,kila MTU anaiweza lugha mbovu,grow up!
Tukirudi kwenye mada: kuna mahala niliposema mleta mada anamzungumzia mwenzi wake specific? Kauli niliyoitumia ni general kama mada yake ilivyo huku nikiongezea uwezekano Wa yeye kuwa anazungumza kutokana na experience yake binafsi,marafiki n.k ndio maana nikasema wenzi wetu na sio mwenzi wake. Upo?

Nipo wapi wewe!!!!
Unaona nimekuchana ndio unaanza kujitetea...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Najua umeelewa,
Anyway kuja kuongea huku haiwafanyi hao watu mnaokutana nao kubadilika,kma hamuongei nao

Kwahiyo wewe ni tumbili ama????
Niambie kama hapa nilikua naongea na tumbili!!

ACHA UBOYA wewe!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Ww ulikua unafanya nn kwenye masikio ya hao wadada...
Then huo sio uchafu hio protection agnist vumbi... Hio ni nta maalum ya kulinda ngoma ya sikio...
Usijifanye msafi sana kwenye vitu vingine ambavyo havihitaji kusafishwa....
Usiyasafishe kila saa masikio yako baadae yatakuletea shida..
"point yangu ya mwisho usipende kuchungulia vitu visivyokuhusu vya maduu" kama umekukera toa huo uchaf kwa ulimi.. Mbona ni kawaida tuu

Wewe acha kutuletea habari za KIJINGA wewe!!!

Mwisho utasema na Makamasi yanazuia vumbi lisiingie puani... Muwe mnayaacha tu..!!!

Mwanaume mzima unakua na akili za kike kike...

Mfyuuuuu (msonyo wa kike)

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Nipo wapi wewe!!!!
Unaona nimekuchana ndio unaanza kujitetea...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Usigeneralize wanawake wote,kama hao unaokutana nao ndo wako hvyo hebu jiulize wewe ni wa aina gani "birds of same feather flock together"
 
Twanamke twingine bana... Akili fupi kama nanihii..
Wanaume unaokutana nao hospital, college, sokoni, supermarket, kwenye usafiri, ofisini, kanisani na masjid wote una fanana nao!!!!

Pumbavv kabisa.... Tatizo lako unawaza ngono tuu!!! Kukutana sio Lazima kuwa wapenz....

Kalagabaho na UJINGA wako sasa!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Ifike hatua sasa wauza urembo waanze kuwasafisha.
Wasiishie kuwasafisha miguu na kucha tu, pia na vitovu, nivichafu mno, unaweza jaza kijiko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom