Nakumbuka tu siku nyingi 90s nilisikia kwenye talk show...Atafute tu ule uzi kule akachungulie ataelewa sijui maana inaonekana anajua...
Afu wanawake tunajuaga kurushana roho jamani. Kuna mtu anaweza akakusimulia mambo yake Eg, boyfriend wake anavyomtreat kumbe muongo mkubwa. Ndo wale wanaojinunulia hadi zawadi afu anadanganya wenzie kanunuliwa na baby. Aonekane tu yeye ndo anapendwa sana, yeye ndo anaenjoy mapenzi sana mmh, akili kumkichwa. Unaanzaje kusimulia ulivyolala na mtu mmh? What for?

Really? Sijawahi kuona hii. Who does this!!
Ila mimi nimekuja kugundua kuwa wanawake wote wanapenda show off. Hii nime-conclude kutoka kwenye sample niliokwisha-interact nao. Wale waliojishow off ni kwamba hawana cha kujishow off au hawajapata kitu out-standing cha kujishow off.
Mwanzoni nilikuwa sijawaelewa vizuri nikawa najaribu kuwashauri kwa nia ya kuwazuia tabia kama hizo, lakini nikawa sifanikiwi kwa kiasi kikubwa. Sana sana walipogundua niko against na tabia hizo, wakawa sasa wanajaribu kunificha na mimi. Ndo baadae nikaja kugundua kumbe almost wote wana tabia za show off. Ofcourse wanaweza kutofautiana aina ya show off na extent ya kujishow off (I mean coverage, media etc), lakini wote wana some sort of show off na wote wanapenda kushow off, ni vile tu unakuta wengi hawana kitu ambacho ni appealing.
Ndo kukundua kumbe I was trying to suppress nature!! kitu ambacho ni kigumu sana. What i do nowdays I try to manage nature, yaani na-control extent ya show off baasi. Lakini kusema eti ataacha kabisa show off aaaah wapi bana!! awe tu hana kitu outstanding cha kushow off labda.
cc @brenda18 @housegirl @missyrose @miss chagga
Hivi @atoto uko wapi lakini, miss u much my sister!! you are not at home, you are not at work, you are not at church ,where are you now? have you moved back to @Kaboom ? or you ar with ur shemdarling @sumbai and ur young sis @cute b
Swahiba acha watu tujitanueeeIla mimi nimekuja kugundua kuwa wanawake wote wanapenda show off. Hii nime-conclude kutoka kwenye sample niliokwisha-interact nao. Wale waliojishow off ni kwamba hawana cha kujishow off au hawajapata kitu out-standing cha kujishow off.
Mwanzoni nilikuwa sijawaelewa vizuri nikawa najaribu kuwashauri kwa nia ya kuwazuia tabia kama hizo, lakini nikawa sifanikiwi kwa kiasi kikubwa. Sana sana walipogundua niko against na tabia hizo, wakawa sasa wanajaribu kunificha na mimi. Ndo baadae nikaja kugundua kumbe almost wote wana tabia za show off. Ofcourse wanaweza kutofautiana aina ya show off na extent ya kujishow off (I mean coverage, media etc), lakini wote wana some sort of show off na wote wanapenda kushow off, ni vile tu unakuta wengi hawana kitu ambacho ni appealing.
Ndo kukundua kumbe I was trying to suppress nature!! kitu ambacho ni kigumu sana. What i do nowdays I try to manage nature, yaani na-control extent ya show off baasi. Lakini kusema eti ataacha kabisa show off aaaah wapi bana!! awe tu hana kitu outstanding cha kushow off labda.
cc @brenda18 @housegirl @missyrose @miss chagga
Hivi @atoto uko wapi lakini, miss u much my sister!! you are not at home, you are not at work, you are not at church ,where are you now? have you moved back to @Kaboom ? or you ar with ur shemdarling @sumbai and ur young sis @cute b
Mie hii jf yenu mpya hataaa siielewi
Haha my kaka unanidongoa eeh. Sio kama tunafanya show offs but ni vizuri kuappreciate kilicho chako bana. Mtu kuweka picha ya mpenzi wake sio tatizo. Kuna watu bana ni too much, yani unajua ile watu kama ndo wamebalehe leo sijui, yani zile sio show offs bana ila Ulimbukeni sasa. Imagine mtu anawatumia screen shots za mpenzi wake, what for jamani? Kuna muda kweli tunapigaga story za mababes lakini sio kiulimbukeni bana. Kuna watu kama huna akili wanaweza wakakufanya ujione hupendwi kwa mashauzi yao, kumbe apeche alolo. Mtu ujinunulie zawadi afu udanganye babes kakununulia Mmh? Mara nimepelekwa wapi wapi kumbe kushneyIla mimi nimekuja kugundua kuwa wanawake wote wanapenda show off. Hii nime-conclude kutoka kwenye sample niliokwisha-interact nao. Wale waliojishow off ni kwamba hawana cha kujishow off au hawajapata kitu out-standing cha kujishow off.
Mwanzoni nilikuwa sijawaelewa vizuri nikawa najaribu kuwashauri kwa nia ya kuwazuia tabia kama hizo, lakini nikawa sifanikiwi kwa kiasi kikubwa. Sana sana walipogundua niko against na tabia hizo, wakawa sasa wanajaribu kunificha na mimi. Ndo baadae nikaja kugundua kumbe almost wote wana tabia za show off. Ofcourse wanaweza kutofautiana aina ya show off na extent ya kujishow off (I mean coverage, media etc), lakini wote wana some sort of show off na wote wanapenda kushow off, ni vile tu unakuta wengi hawana kitu ambacho ni appealing.
Ndo kukundua kumbe I was trying to suppress nature!! kitu ambacho ni kigumu sana. What i do nowdays I try to manage nature, yaani na-control extent ya show off baasi. Lakini kusema eti ataacha kabisa show off aaaah wapi bana!! awe tu hana kitu outstanding cha kushow off labda.
cc @brenda18 @housegirl @missyrose @miss chagga
Hivi @atoto uko wapi lakini, miss u much my sister!! you are not at home, you are not at work, you are not at church ,where are you now? have you moved back to @Kaboom ? or you ar with ur shemdarling @sumbai and ur young sis @cute b
Keep your secret to yourself and tell it to God only...utaishi maisha ya amani kwakweli....
Hahaa..nyota tu. Nachanganyikiwa zaidi navyoona quotes zote za kwenye thread nilizochangia naona Avi yangu..
Haha my kaka unanidongoa eeh. Sio kama tunafanya show offs but ni vizuri kuappreciate kilicho chako bana. Mtu kuweka picha ya mpenzi wake sio tatizo. Kuna watu bana ni too much, yani unajua ile watu kama ndo wamebalehe leo sijui, yani zile sio show offs bana ila Ulimbukeni sasa. Imagine mtu anawatumia screen shots za mpenzi wake, what for jamani? Kuna muda kweli tunapigaga story za mababes lakini sio kiulimbukeni bana. Kuna watu kama huna akili wanaweza wakakufanya ujione hupendwi kwa mashauzi yao, kumbe apeche alolo. Mtu ujinunulie zawadi afu udanganye babes kakununulia Mmh? Mara nimepelekwa wapi wapi kumbe kushney
Nimechekaje hapo, kumbe sometimes tunaogopa kushow off kisa hatuna vitu "outstanding"? ?? Kuna watu wana hivyo Vitu ni vya kawaida tu (kwa mtazamo wangu )lakini hayo mashauzi sasa mmh. Huyo mtu "outstanding" kila mtu ana macho yake tofauti juu ya hilo
Hahaha haya ngoja basi nitafute kitu "appealing" nikukomeshee. Namshukuru Mungu I can control myself na hiloKuosha muhimu sista, sema extent tu ndo mnatofautiana bana. Si unaona mwenyewe unawasema wale wanaozidisha, so in a way unazungumzia extent na pengine kitu chenyewe cha kushow off. Lakini my central point (and my conclusion ofcourse) ni kwamba wanawake wote wanapenda show off. Yaani mi baada ya kugundua hili aaaah nina amani balaa badala ya kuangaika kusuppress nature. Siku hizi nina kazi ya ya ku-manage na ku-monitor extent tu isije ikaenda kwenye extreme kama hao wa instagram.
Nilisahau kummention @NANDERA naye atupe mtazamo wake, hope ataona conversation kuanzia kule juu
Swahiba acha watu tujitanueee
Maneno yetu si sheria, na Kila mtu ana uhuru wa kufanya atakacho as long as havunji sheria ya nchi. Tunakumbushana tu teh, kama mtu ataamua kuflaunt kitu chake "outstanding ", amazing fulani ni poa tuuuuuuuu, tutalike na kucommentUmeona eeh!! sasa mbona @housegirl na kina @Heaven Sent wanataka kuwabanabana hapa!! waambieni wawache bana ahaaaaa!!

Hahaha haya ngoja basi nitafute kitu "appealing" nikukomeshee. Namshukuru Mungu I can control myself na hilo
Kuosha muhimu sista, sema extent tu ndo mnatofautiana bana. Si unaona mwenyewe unawasema wale wanaozidisha, so in a way unazungumzia extent na pengine kitu chenyewe cha kushow off. Lakini my central point (and my conclusion ofcourse) ni kwamba wanawake wote wanapenda show off. Yaani mi baada ya kugundua hili aaaah nina amani balaa badala ya kuangaika kusuppress nature. Siku hizi nina kazi ya ya ku-manage na ku-monitor extent tu isije ikaenda kwenye extreme kama hao wa instagram.
Nilisahau kummention @NANDERA naye atupe mtazamo wake, hope ataona conversation kuanzia kule juu
Aah kwa unavyonidongoa hivi, itabidi tu iwe extremely ili nikukomeshee zaidi teh naweka picha pale kati afu status "gazeti"Yap yap we osha bana sista, kama hujapata cha kuoshea hapo ndo shida sasa. Subiri subiri tu one day yes utapata kitu outstanding na wewe uwakomesheee ahaaaa! ila sasa angalia usiende kwenye extreme ukawa kituko bana.

Maneno yetu si sheria, na Kila mtu ana uhuru wa kufanya atakacho as long as havunji sheria ya nchi. Tunakumbushana tu teh, kama mtu ataamua kuflaunt kitu chake "outstanding ", amazing fulani ni poa tuuuuuuuu, tutalike na kucomment![]()
![]()
![]()