Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

Wadada, jifunzeni kuwa wasiri



Teh Teh nimecheka sana daaa huwa naona sana status za hivi ...bahati mbaya wanawake huwa ni wachukua ushauri na kuuacha hapo hapo!
Hahaha Tuacheni tu wanawake jamani. Siku hizi hata mtu akikuacha taarifa utaipata kwenye social networks huko teh
 
Hahaahha ni mazoezi yakawaida tu, na ni mazuri kwa afya tu hata kwa wannaume ...eti mkuu brenda 18?! ...nadhani kama sikosei ni kubana pee kwa stages mpaka pee iishe...
Sasa we si ulitaka ushuhuda.... Me mwenyewe nataka ushuhuda... Manake nilisema ya barafu nikakataliwa. Haya @brenda18 kasema tusitoke nje ya mada.
 
Haha...
There is always that annoying couple in every group of friends.. Kuwaambia watu kuhusu Mapenzi yako all the time inaboa.
.na kwa wanao post, wa post tu mimi Nitalike. Nawaonea huruma tu reputation wanayojitengenezea. Manake jana nimekaa kumtetea dada wa watu utafkiri ananijua. Kuna kaka kaishia kutukana wanawake wote kisa huyo dada, sijui na yeye alipitimo?? Jamii yetu haijazoea uhuru wa wanawake, I guese wadada wa hivi ndo kafara kutupeleka kwenye uhuru.

Of course na mtu kujichoresha kwa watu kwa statuses. Kama haikusumbui wewe tu entertain tu.
Uzuri tunaijua jamii yetu, so tunajua kabisa hatutopita salama bila kuwa judged. Na kawaida mwanamke akifanya vyema atasifiwa yeye binafsi ( na anaweza asisifiwe at all), ila akikosea hilo litahesabika ni kosa la wanawake wote
 
Hahaha Tuacheni tu wanawake jamani. Siku hizi hata mtu akikuacha taarifa utaipata kwenye social networks huko teh
Na haya mambo ndio huchangia wao kuumizwa ..yani jambo hata alija kamilika vizuri kaisha lisambaza hadi unashangaa.
 
Na haya mambo ndio huchangia wao kuumizwa ..yani jambo hata alija kamilika vizuri kaisha lisambaza hadi unashangaa.
Hahaha mnachelewa bana kukamilisha mambo, fanyeni fasta bana. Naamini tukianza ku-mature hayo yote yataisha tu
 
Kama umependa na unapenda kumpost ww mpost weka status ila unakuja kujisikia vibaya pale mnapo achana lazima utaitoa na wale walio makini utaazwa kuuliza Ndio utapoona ukaraha wakupost .
 
Sasa nikisema sina mtu na ninae huoni nakaribisha vishawishi?
Haha.... Si unawakatalia tu.......me nawaambia wale ambao wanarukarukaaa, wakifika 30 wanaenda kukesha kanisani. Hizi drama wanamchezea Nani? Kama ni jamii, basi aanze tu toka mwanzo ili asijiharibie baadae
 
Ujue msimamo wako ni silaha tosha hata kama ukisema huna mtu wakija ukisema noo na itakuwa noo unatakiwa ujitambue nauwe na msimamo na malengo
 
Nasikitishwa na haya majina nayosikia wadada wanaitwa kila siku; Especially Malaya.

Lunch leo Nimekaa na wanaume wanamsema mrembo flani, mwenye BAHATI ya kuvuta mashine za ukweli, $$$, you know.

Unfortunately bado jamii yetu inakandamiza mwanamke na kumFavour mwanaume. Bado watu wanaona ngono ni kwa ajili ya mwanaume. Mwanamke akutwe bikra lakini mwanaume haijalishi. Hatoulizwa!

Najua wanawake siku hizi wana uhuru kuliko zamani lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa hata zamani wadada walikuwa wanajipa good time tu.

Tatizo wadada sikuhizi hamna siri!

We kila kitu kuhadithia mashosti. Kila utakayetoka naye unaonyesha watu. Kila utakachopewa kila utakapopelekwa(i.e hotels) tutaona picha. Mmoja akianza kusifia game la alilochezewa na fulani na we umo kutaja kina fulani...

Sio tu unasababisha watu ambao bado hawaelewi uhuru wako wakuone vibaya na kukuita majina, Bali hata mwenyewe unakuwa tu mtu wa hovyo. Ukipewa hela unadunduliza ubadilishe smart phone ili tuone shem ni anaKuspoil/mtunzaji, hufikirii maisha baada ya huyo mtu.

Wengine mnapelekwa guest tu lakini tutaona picha ya dinner na breakfast za kizaramo. Mbona wenzenu wanapelekwa 4 stars wamekausha!!

JIFUNZENI USIRI.

Acha love/sex life yako iwe private. Utatuonyesha mumeo. Usihadithie mashosti,ndo wabaya wako hao. Ukipitia/Ukilala hotelini wakati unajua unaishi kwenu/hostel, au unajua unataka kuonekana mtu wa dini, achana na hiyo camera.

Hupungukiwi kitu. Zoea kusema Sina mtu esp. Nyie wadada wa chuo mlio na pressure za kushow off mabwana. Itawasaidia hata kuacha kutumia pesa hovyo.

***Nisije kuambiwa nahamasisha uasherati. Iko chini ya mtu Binafsi kushikilia viwango alivyojiwekea. Kama hayo maandiko hayako akilini mwa huyo dada, hamna utakachoweza kufanya kuzuia...

***you wanna be "that" good lady at 30? Don't get caught at 20.


Mkuu, inabidi uelewe akili ya mwanamke...wengi wao huishi kwa fairy tales (maigizo), kwao kujisifia ama kujiweka juu ni muhimu sana shinda kujiheshimu na hawafikirii madhara ya baadaye itakuwaje. Mtu atapigwa pumbu na mume wa mtu dakika hii, atakwenda facebook kubandika kuwa kapata mume na watu wasubiri atatangaza ndoa hivi karibuni. Sasa jiulize, umepigwa pumbu tu ya dakika 20 mwanaume kishasahau, mwanamke anatangaza ndoa Facebook kwa wenzake. Who the hell does this? Yaani ukielewa akili ya mwanamke inavyo function utakuwa a movie director wa vituko kama mimi na maprofesa wenzangu....!

Note: Usimfikirie sana mwanamke kwani utakuwa na hasira nao, wachukulie jinsi walivyo ila usiendekeze umbea wao.
 
mi nitamuongelea mpaka nakufa, yaani hapa nimenunulia some outfits majirani wote wanajua na wanajisikia wako chini mie nipo juu napendwaaa teh teh
 
Exactly, sijui ni Ulimbukeni tu au Insecurities au immaturity au kuwa desperate hata sielewi yani
Tatizo mara nyingi mlio wengi wanawake hamfanyi mambo kwaajili yenu bali kwaajili ya wenzenu! Unakuta mtu anasema ana hitaji kuolewa lakini ukifatilia ni kwaajili ya kuwakomesha wengi au kuwaonesha marafiki kuwa ameolewa...
 
Wanawake siku zote huwa ni wa kujisahau lakini wao ndo wahanga wakubwa wa hii mambo.......!!! +
 
Mtu awezi olewa kwaajili ya kuonyesha wezake bali kuna umri ukifika lazima msichana anakuwa na matamanio na yy aolewe
 
Tatizo mara nyingi mlio wengi wanawake hamfanyi mambo kwaajili yenu bali kwaajili ya wenzenu! Unakuta mtu anasema ana hitaji kuolewa lakini ukifatilia ni kwaajili ya kuwakomesha wengi au kuwaonesha marafiki kuwa ameolewa...
Nashukuru umetufahamu vyema.. "niwakomeshe kina fulani wanione". Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anayefanya kitu kwa moyo na yule anayefanya kwa ajili ya kuprove kitu fulani/ kukomesha wengine

Kuna couples zinapendana jamani, na ukikuta kama status ni ile zinakugusa + kukubariki na hawatumii nguvu kuprove mapenzi yao; unaona kabisa hapa kuna true love. Subiria sasa sisi kina chaukuno weee na status zetu za majirani mnikome.
 
Tatizo muda mwingine kuna wanawake wanakuwa na pressure ya mambo kwa sababu ya kuishi kwa kuwaangalia watu...!
Hapo mkuu umenena!!!!!
URL]
 
Back
Top Bottom