housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,194
- Thread starter
- #221
Ila mimi nimekuja kugundua kuwa wanawake wote wanapenda show off. Hii nime-conclude kutoka kwenye sample niliokwisha-interact nao. Wale waliojishow off ni kwamba hawana cha kujishow off au hawajapata kitu out-standing cha kujishow off.
Mwanzoni nilikuwa sijawaelewa vizuri nikawa najaribu kuwashauri kwa nia ya kuwazuia tabia kama hizo, lakini nikawa sifanikiwi kwa kiasi kikubwa. Sana sana walipogundua niko against na tabia hizo, wakawa sasa wanajaribu kunificha na mimi. Ndo baadae nikaja kugundua kumbe almost wote wana tabia za show off. Ofcourse wanaweza kutofautiana aina ya show off na extent ya kujishow off (I mean coverage, media etc), lakini wote wana some sort of show off na wote wanapenda kushow off, ni vile tu unakuta wengi hawana kitu ambacho ni appealing.
Ndo kukundua kumbe I was trying to suppress nature!! kitu ambacho ni kigumu sana. What i do nowdays I try to manage nature, yaani na-control extent ya show off baasi. Lakini kusema eti ataacha kabisa show off aaaah wapi bana!! awe tu hana kitu outstanding cha kushow off labda.
cc @brenda18 @housegirl @missyrose @miss chagga
Hivi @atoto uko wapi lakini, miss u much my sister!! you are not at home, you are not at work, you are not at church ,where are you now? have you moved back to @Kaboom ? or you ar with ur shemdarling @sumbai and ur young sis @cute b
Kama alivyosema @brenda18 na @NANDERA, unaweza kuwa showing off kwako tu, na si tabia ya wanawake tu.... Mimi I don't mind posts za vitu vizuri vizuri, umasikini sio sifa.....
Nasemea wadada wanaojua relationships zao sio ya kudumu.....tena wanajua jamii yetu hii ya mfumo dume..... Halafu baadae ndo anaanza kujisitiri , sijui kuokoka.......nimesuggest njia za kuAvoid kuwa judged na watu...... Kama hajali watu watasemaje then good...
Last edited: