Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

Labda useme wengi..ukisema wote ni tatizo. Kuna wengine wasiri kupindukia,huwezi kuta kaweka profile,Ka post sijui wapi na hazungumzii chochote,na muda huo huo ana date na mtu wa maana tu. Nafikiri ni ulimbukeni kama alivyosema @Heaven Sent..
Hahaha huwa nacheka honestly nikiona neno "mwanaume wa maana", sijui kwa nini eti. Yeah kuna watu wana privacy sana. Hivi Vitu ni kama tabia tu sometimes, kuna mtu akinunua hata chupi, atatamani amuonyeshe kila mtu basi tu haiwezekani
 
Insta kumejaa watoto tu nashangaa kwanini hata wewe upo kule!
hivi huko "ista" wanapost na kujadili mada kama huku niwe nachunguliamo? kwenye PC inafaa? Nina alergy ya smartphone.
 
Kuna sababu inayokufanya ucheke....kwa nini?
Sijui hata kama ntaweza kuelezea vizuri. Huwa nawaza tu huo "umaana" ni kitu gani haswa na according to nani?. Like hapo rose alivyosema "mtu anadate na mtu wa maana lakini hamtangazi" huo umaana wa kukufanya umtangaze ni upi? Je kama huna mtu wa maana (according to watu wengine) ndo usimtangaze? Au utasikia "yani fulani kamuacha mwanaume wa maana, kamfuata yule loooh". Kinachonichekesha ni pale ambapo mtu anataka "umaana" anaouona kwa mtu fulani na wewe uuone.
 
Kuosha muhimu sista, sema extent tu ndo mnatofautiana bana. Si unaona mwenyewe unawasema wale wanaozidisha, so in a way unazungumzia extent na pengine kitu chenyewe cha kushow off. Lakini my central point (and my conclusion ofcourse) ni kwamba wanawake wote wanapenda show off. Yaani mi baada ya kugundua hili aaaah nina amani balaa badala ya kuangaika kusuppress nature. Siku hizi nina kazi ya ya ku-manage na ku-monitor extent tu isije ikaenda kwenye extreme kama hao wa instagram.

Nilisahau kummention @NANDERA naye atupe mtazamo wake, hope ataona conversation kuanzia kule juu
unamaanisha wanaume hawana hii nature au? Jana tu nimetoka kumshangaa mkaka kapost picha ya sebule yake facebook. Kwa kuwa picha haikuambatana na maneno nikafikiri ni interior designer, nikaipenda sana; nilivyoendelea kusoma comments nikagundua ni sebule yake, ndo amehamia dar! Wengine wanapost magari, nyumba na sehemu za starehe wanazotembelea, aina za pombe walizo nazo ndani au walizokunywa... Show off kama ni nature basi ipo kwa jinsi zote ila tofauti inaweza kuwa aina ya vitu wanavyo-show off. Wanawake wata-show off vitu kama hivyo vya wanaume pamoja na mahusiano yao - waume/wapenzi na watoto pamoja na muonekano - nguo, viatu, mitindo ya nywele na mapambo. Lakini pia kama ni nature basi kuna wengine wana matatizo maana hawa-show off chochote ingawa wana vingi. Wao hupost mada za michezo, nukuu za watu mashuhuri na maandiko mbalimbali. Hoja ya msingi hapa nadhani ni mtu anaonyesha nini kwa lengo gani. Kuna ambavyo havitakiwi kuonyeshwa; na vinavyofaa kuonyeshwa basi iwe kwa malengo ya maana siyo mtu anaonyesha nyumba halafu anaandika "na bado!". Mwingine anapost picha ya mtoto wake mchanga wa siku moja anaandika "asiye na mwana aeleke jiwe..". SHOW-OFF HAZINA ME WALA KE ila mleta mada kachagua kuongea na wanawake.
 
Mkuu,

Hizi show off sometime zinatumika kama security yao. Yaan enzi zile ukiwa bazazi alafu umepata msichana show off nyingi daaah paka anaharibuu sasa mipango ya muda mrefu.

Otherwise baada ya kufanya maamuz magum kuamua kubaki na 1.

Showoff za insta na facebook huko kawaida.

Ila ni zile zilizokuwa monitored na controlled just as @mito said

Hapa @Kaboom ananielewa.
 
Labda useme wengi..ukisema wote ni tatizo. Kuna wengine wasiri kupindukia,huwezi kuta kaweka profile,Ka post sijui wapi na hazungumzii chochote,na muda huo huo ana date na mtu wa maana tu. Nafikiri ni ulimbukeni kama alivyosema @Heaven Sent..
Kuna mambo mawili au matatu mtu kuficha. Mfano hata ile ya kuweka insta angalau once. Au huko facebook.

Huenda ukawa na wengine usiotaka wajue.

Wengine hawatak wakiofia relation zetu hz hazina uhakika wa kudumu

Au asili ya mtu kutopenda kuweka wazi
 
Hahaha huwa nacheka honestly nikiona neno "mwanaume wa maana", sijui kwa nini eti. Yeah kuna watu wana privacy sana. Hivi Vitu ni kama tabia tu sometimes, kuna mtu akinunua hata chupi, atatamani amuonyeshe kila mtu basi tu haiwezekani
 
Sijui hata kama ntaweza kuelezea vizuri. Huwa nawaza tu huo "umaana" ni kitu gani haswa na according to nani?. Like hapo rose alivyosema "mtu anadate na mtu wa maana lakini hamtangazi" huo umaana wa kukufanya umtangaze ni upi? Je kama huna mtu wa maana (according to watu wengine) ndo usimtangaze? Au utasikia "yani fulani kamuacha mwanaume wa maana, kamfuata yule loooh". Kinachonichekesha ni pale ambapo mtu anataka "umaana" anaouona kwa mtu fulani na wewe uuone.

Teh teh,nimecheka sana..mdada anapomdharau mwenzie kisa yeye yupo na mtu 'wa maana' mjini.
 
Hahaha huwa nachoka kusema za ukweli. Afu bahati mbaya zaidi ukute huyo mtu ambaye yeye anamuona wa "maana" wewe huoni hata huo umaana. Kama yeye ana wa maana basi inatosha kwa faida yake na sio kutaka na wengine Mfate umaana wake. One man's spoilt milk is another man's sweet yoghurt
 
Last edited:
Binafsi nilikua nagombana sana na gf wangu aliyepita ambaye hakuwa msiri kwenye personal life. Kwenye instagram yake zilijaa sura picha zangu mi sikupenda ila yeye aliniona mimi ni kama old fashioned. Kila mara nilimsihi kutojiexpose kwa watu maisha binafsi lakini hakuona kama nilikua namweleza jambo la maana.

Ntakupa mfano, familia yake yote, baba, mama, dada, kaka, young sis wake wote aliwaweka huko. Akisafiri iwe kwa bus au ndege atapiga picha aiport au ndani ya cabin na kupost. Yaani mtu anajua life yako leo upo wapi na unafanya nini, what for? Alifikia hatua ya kutaka kuniblock kisa nambania uhuru.

Tulipoachana akadelete picha zangu zote. Alipopata bwana mwingine mchezo ulikua uleule kama ilivyokua kwangu. Bahati mbaya huyu bwana mpya hawakuchukua muda mrefu wakaachana pia, picha zote kafuta instagram.

Badilikeni bwana, wanaume wengi hatupendi show offs ukiacha visharobaro ambavyo hela havina kazi kuuza sura mitandaoni.

A gentleman has no whether.
 
unamaanisha wanaume hawana hii nature au? Jana tu nimetoka kumshangaa mkaka kapost picha ya sebule yake facebook. Kwa kuwa picha haikuambatana na maneno nikafikiri ni interior designer, nikaipenda sana; nilivyoendelea kusoma comments nikagundua ni sebule yake, ndo amehamia dar! Wengine wanapost magari, nyumba na sehemu za starehe wanazotembelea, aina za pombe walizo nazo ndani au walizokunywa... Show off kama ni nature basi ipo kwa jinsi zote ila tofauti inaweza kuwa aina ya vitu wanavyo-show off. Wanawake wata-show off vitu kama hivyo vya wanaume pamoja na mahusiano yao - waume/wapenzi na watoto pamoja na muonekano - nguo, viatu, mitindo ya nywele na mapambo. Lakini pia kama ni nature basi kuna wengine wana matatizo maana hawa-show off chochote ingawa wana vingi. Wao hupost mada za michezo, nukuu za watu mashuhuri na maandiko mbalimbali. Hoja ya msingi hapa nadhani ni mtu anaonyesha nini kwa lengo gani. Kuna ambavyo havitakiwi kuonyeshwa; na vinavyofaa kuonyeshwa basi iwe kwa malengo ya maana siyo mtu anaonyesha nyumba halafu anaandika "na bado!". Mwingine anapost picha ya mtoto wake mchanga wa siku moja anaandika "asiye na mwana aeleke jiwe..". SHOW-OFF HAZINA ME WALA KE ila mleta mada kachagua kuongea na wanawake.
unamaanisha wanaume hawana hii nature au? Jana tu nimetoka kumshangaa mkaka kapost picha ya sebule yake facebook. Kwa kuwa picha haikuambatana na maneno nikafikiri ni interior designer, nikaipenda sana; nilivyoendelea kusoma comments nikagundua ni sebule yake, ndo amehamia dar! Wengine wanapost magari, nyumba na sehemu za starehe wanazotembelea, aina za pombe walizo nazo ndani au walizokunywa... Show off kama ni nature basi ipo kwa jinsi zote ila tofauti inaweza kuwa aina ya vitu wanavyo-show off. Wanawake wata-show off vitu kama hivyo vya wanaume pamoja na mahusiano yao - waume/wapenzi na watoto pamoja na muonekano - nguo, viatu, mitindo ya nywele na mapambo. Lakini pia kama ni nature basi kuna wengine wana matatizo maana hawa-show off chochote ingawa wana vingi. Wao hupost mada za michezo, nukuu za watu mashuhuri na maandiko mbalimbali. Hoja ya msingi hapa nadhani ni mtu anaonyesha nini kwa lengo gani. Kuna ambavyo havitakiwi kuonyeshwa; na vinavyofaa kuonyeshwa basi iwe kwa malengo ya maana siyo mtu anaonyesha nyumba halafu anaandika "na bado!". Mwingine anapost picha ya mtoto wake mchanga wa siku moja anaandika "asiye na mwana aeleke jiwe..". SHOW-OFF HAZINA ME WALA KE ila mleta mada kachagua kuongea na wanawake.
Duuh we naona umeenda a deep further kwa kusema show off hazina jinsia. I fully agree with you. Ila naona wengi mnamaanisha show off za mitandaoni kumbe, sijaona anayegusia za huku kitaa, huko neighbourhood huku, maofisini huku sijui wapi huku live live huku!!
 
Back
Top Bottom