Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
Hahahahahah yaani hadi uhame mtaa ndonitaacha kukusimulia, alafu wewe mbona uliniambia baby wako kakununulia baiskel used sikusikia wivu
Hahaha lile lamborghini lako la mkodisho eeh. Roho iliniumaje, usiwe unanisimulia bana