mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,290
Hahaaa utaona tu siku moja wala ucjaliReally? Sijawahi kuona hii. Who does this!!
Hahaaa utaona tu siku moja wala ucjaliReally? Sijawahi kuona hii. Who does this!!
Siku zote mwanamke ndo anayeathirika zaid na tendo la ndoa.......!!!!!Lakini kwani hawana uhuru wa kuwa na anaowataka? Kwanini muwaite Malaya? Ni wivu au
usitume banaTeh teh..Na hivi nimejua kuna watu wanakereka ndo ntazidi...ntaanza kutuma hadi humu
Exactly.Kuna mtu haamini kama anaweza kuingia Ramada Resort, akala na akalala bila kucheck in fb. Halafu huu ugonjwa umewapata hadi wanaume, inasikitisha sana.
Inasikitisha kwakweli....mambo yamekua out of control....Jamani Kuna wanaojinunulia zawadi??
And yes, kuna tofauti kati ya kupeana ujuzi na kuanza kusimuliana ya private.
Saluni..... Wanawake watu wazima hizo story sasa!
Sikujua Kuna hadi magroup ya watu umri huo LOL .......labda rahatupu ya Nancy....nishawahi ona wababa mule.
Watu watokwe na ushamba wa media jamani.
Nilisahau version ya wanaume.
Kweli labda watatuona washamba. Au labda ndo itakuwa norm!!! Manake siku hizi picha za couple wamelala kitandani ni nyingi.
Me shida yangu ni kutukanwa tu kwa hawa wadada.
We huoni wao wakizidisha tuu mizigo ndo huwa wanakuwa na matiti ka ndala.....maeneo yao pia yanakuwa mapana ka ndoo.....so upumbavu wao pamoja na ulafi wao ndo unaowaponza!!!!Kivipi?
weh!We huoni wao wakizidisha tuu mizigo ndo huwa wanakuwa na matiti ka ndala.....maeneo yao pia yanakuwa mapana ka ndoo.....so upumbavu wao pamoja na ulafi wao ndo unaowaponza!!!!
Jamani Kuna wanaojinunulia zawadi??
And yes, kuna tofauti kati ya kupeana ujuzi na kuanza kusimuliana.
Hivi wapo watu ambao wamepata positive results kwa kufanya mazoezi ya kegel, ila ni issue private sana kwa wadau kutoa ushuhuda...ila nahisi kwamba kama mtu ana partners wengi kegel haiwezi kuwa na positive resultsweh!
Maziwa yataanguka tu hata awe bikra for life. Na tendo halisababishi maziwa kuanguka.
Kutanuka kwa K kunarekebishika kwa mazoezi ya Kegels. Dr. @brenda18 talk to this man
Ujue nini, sio kitu kibaya kuwatambulisha watu kuwa this is my man. Tatizo yale matashtiti yasiyo na kichwa na miguu. Hatupumui ni my baby this, my baby that, my baby is so sweet eishhhhh. Story zote ni baby wake tu, yani inabidi wengine mnyamaze tu. Siku wakiachana unajikuta tu Unacheka. Maana kwa jinsi wanavyoishi kwa drama kukaa kimya hawezi, utaanza tu kuona captions " single and happy", in love with myself, best fuc*n relationship ever" pyeeeTutaambiwa tunaona wivu.... Lakini me sijali.... Kuonyesha uonyeshe mwenyewe, kuachana muachane wenyewe, baadae watu wakikuangalia vibaya u Deal nayo mwenyewe
Eeeh usiombe kukutana na immature person au mtu anayependa drama/Ulimbukeni. Watu wanajinunulia vitu kibao Afu busy "beau kaninunulia ", mtajuaje kama anapendwa + baby wake yupo loaded. Ni sawa tu na mtu anaenda sehemu nzuri kula bata on her own but atakwambia "baby alinipeleka kule....". Honestly sielewagi huwa wanataka kuprove nini. Ni maisha yao lakini, ingawa tunawaombea wa-mature basi angalau matendo yao yasadifu umri wao.
Ujuzi kupeana muhimu bana lol
LOLEeeh usiombe kukutana na immature person au mtu anayependa drama/Ulimbukeni. Watu wanajinunulia vitu kibao Afu busy "beau kaninunulia ", mtajuaje kama anapendwa + baby wake yupo loaded. Ni sawa tu na mtu anaenda sehemu nzuri kula bata on her own but atakwambia "baby alinipeleka kule....". Honestly sielewagi huwa wanataka kuprove nini. Ni maisha yao lakini, ingawa tunawaombea wa-mature basi angalau matendo yao yasadifu umri wao.
Ujuzi kupeana muhimu bana lol
Ahhahaha khaa sipati nega unaanzaje kutuma na picha za kitandani jamani. kwelo tunatofautina jamani, sijui wengine na huu uzee. Watu wana guts mwee,LOL
Labda wanahisi watakubalika zaidi/watafit in zaidi na wao wakionwa wana mtu? Maybe wana insecurities?
Pole zao
Sawa utupe ujuzi lakini ukianza kusema ni fulani ukatutumia na picha mko kitandani (naona nyingi hizi sikuhizi) usije kutuletea matarumbeta ukikuta na sisi tumeenda kuonjamo
Ujue nini, sio kitu kibaya kuwatambulisha watu kuwa this is my man. Tatizo yale matashtiti yasiyo na kichwa na miguu. Hatupumui ni my baby this, my baby that, my baby is so sweet eishhhhh. Story zote ni baby wake tu, yani inabidi wengine mnyamaze tu. Siku wakiachana unajikuta tu Unacheka. Maana kwa jinsi wanavyoishi kwa drama kukaa kimya hawezi, utaanza tu kuona captions " single and happy", in love with myself, best fuc*n relationship ever" pyeee
Haha...Ujue nini, sio kitu kibaya kuwatambulisha watu kuwa this is my man. Tatizo yale matashtiti yasiyo na kichwa na miguu. Hatupumui ni my baby this, my baby that, my baby is so sweet eishhhhh. Story zote ni baby wake tu, yani inabidi wengine mnyamaze tu. Siku wakiachana unajikuta tu Unacheka. Maana kwa jinsi wanavyoishi kwa drama kukaa kimya hawezi, utaanza tu kuona captions " single and happy", in love with myself, best fuc*n relationship ever" pyeee
Hahaahha ni mazoezi yakawaida tu, na ni mazuri kwa afya tu hata kwa wannaume ...eti mkuu brenda 18?! ...nadhani kama sikosei ni kubana pee kwa stages mpaka pee iishe...au hata kufanya bila peeTumuulize Dr. @brenda18... Me sihitaji hizo kwa sasa. Haha.