Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

Binafsi nilikua nagombana sana na gf wangu aliyepita ambaye hakuwa msiri kwenye personal life. Kwenye instagram yake zilijaa sura picha zangu mi sikupenda ila yeye aliniona mimi ni kama old fashioned. Kila mara nilimsihi kutojiexpose kwa watu maisha binafsi lakini hakuona kama nilikua namweleza jambo la maana.

Ntakupa mfano, familia yake yote, baba, mama, dada, kaka, young sis wake wote aliwaweka huko. Akisafiri iwe kwa bus au ndege atapiga picha aiport au ndani ya cabin na kupost. Yaani mtu anajua life yako leo upo wapi na unafanya nini, what for? Alifikia hatua ya kutaka kuniblock kisa nambania uhuru.

Tulipoachana akadelete picha zangu zote. Alipopata bwana mwingine mchezo ulikua uleule kama ilivyokua kwangu. Bahati mbaya huyu bwana mpya hawakuchukua muda mrefu wakaachana pia, picha zote kafuta instagram.

Badilikeni bwana, wanaume wengi hatupendi show offs ukiacha visharobaro ambavyo hela havina kazi kuuza sura mitandaoni.

A gentleman has no whether.
Naona hapa umeongelea zaidi maisha ya Insta,utakubali tu hata wanaume wanafanya hivyo pia...
Hata hivyo hio app is for sharing your daily pics for memo,sioni tatizo hapo...tatizo lipo kwa huyo ex wako kuweka pics za kila mwanaume anaedate nae,sasa huo ni utoto ipo siku atakua ataacha
Hakuna shida mtu akipost pic yupo airport,au kwa bajaji au lunch sehem flani ndio maana halisi ya instagram if am not mistaken,tatizo ni mtu kutuonyesha fake life like akaazime gari lisilo la kwake au Nguo ili tu apost na ye tuone ni wa status flani hizo ndio show off za kitoto
If your gf alikuwa anapost pic zake za ukweli hakuna tatizo hapo japo kupost familia pia sijamwelewa
 
Duuh we naona umeenda a deep further kwa kusema show off hazina jinsia. I fully agree with you. Ila naona wengi mnamaanisha show off za mitandaoni kumbe, sijaona anayegusia za huku kitaa, huko neighbourhood huku, maofisini huku sijui wapi huku live live huku!!
Kaka angu mito hiii topic mie mwenyewe nimeanza kuona kuna showoff na uwivu,Hahahaa kuna watu huu sasa ni uwivu sababu hawana vitu flani lakini kama wangekua navyo wangevionyesha pia,nakubaliana na wewe kwa kiasi chake
Mtu akipost gari yake tatizo no nini,wewe si unalo post lako pia,ilimradi ni lake,labda tu caption zinazoenda na hio picha ndio tatizo,otherwise kama huna kitu alichopost ndio utaona huyu nae anapenda kujionyesha kwani ye wa kwanza kuwa na gari hahah
Nikirudi kwa mleta mada I think point yake ni tuwe waangalifu na pics tunazoweka mitandaoni zisiwe chanzo cha matatizo hapo baadae,mfano unatoka na mme wa mtu hutakiwi kuweka pics zenu mkiwa pamoja haileti maana,lakini kama ni mme halali tuwekee tu mipicha kwani kuna dhambi hapo?sasa sie masingle ndio tutaanza kulalama huyu nae kisa kaolewa basi ndio showoff weee hatunywi maji kumbe moyoni ni uwivu tu unatusumbua,keshokutwa nikiwa na wangu na mie naanza kuweka pics
Tuangalie tu vitu tunavyoweka mitandaoni vina madhara gani katika maisha yetu au ya watu wa karibu yetu kwa sasa au badae,na tuwe na maisha ya uhalisia tuache fake life... Lakini definition ya show off iko wide na kila mtu ana tafsiri yake na wengine zaidi ni personal conflicts zao binafsi,anatamani angekua nacho but since hana basi anasema hio ni show off...
 
Naona hapa umeongelea zaidi maisha ya Insta,utakubali tu hata wanaume wanafanya hivyo pia...
Hata hivyo hio app is for sharing your daily pics for memo,sioni tatizo hapo...tatizo lipo kwa huyo ex wako kuweka pics za kila mwanaume anaedate nae,sasa huo ni utoto ipo siku atakua ataacha
Hakuna shida mtu akipost pic yupo airport,au kwa bajaji au lunch sehem flani ndio maana halisi ya instagram if am not mistaken,tatizo ni mtu kutuonyesha fake life like akaazime gari lisilo la kwake au Nguo ili tu apost na ye tuone ni wa status flani hizo ndio show off za kitoto
If your gf alikuwa anapost pic zake za ukweli hakuna tatizo hapo japo kupost familia pia sijamwelewa
wewe huwa unafanya hayo unayozungumzia?? i mean kupost picha insta au fb kwa almost kila ufanyacho? ukiwa unakula,ukiwa kwenye ndege,ukilala hotelini,ukinunua viatu vipya etc?
 
wewe huwa unafanya hayo unayozungumzia?? i mean kupost picha insta au fb kwa almost kila ufanyacho? ukiwa unakula,ukiwa kwenye ndege,ukilala hotelini,ukinunua viatu vipya etc?
Hapana sina account fb na Insta hakuna pic zangu,hata hao followers hawajui wanamfollow nani,sio mpenz wa kushare vitu naweza kweli nikapiga nikinunua kiatu kipya ila nisiwe na wazo la kuupload pics
Lakini bado instagram ni for sharing pics,sioni tatizo kwa wanaofanya hivyo as long as in maisha yake
 
Ila mimi nimekuja kugundua kuwa wanawake wote wanapenda show off. Hii nime-conclude kutoka kwenye sample niliokwisha-interact nao. Wale waliojishow off ni kwamba hawana cha kujishow off au hawajapata kitu out-standing cha kujishow off.

Mwanzoni nilikuwa sijawaelewa vizuri nikawa najaribu kuwashauri kwa nia ya kuwazuia tabia kama hizo, lakini nikawa sifanikiwi kwa kiasi kikubwa. Sana sana walipogundua niko against na tabia hizo, wakawa sasa wanajaribu kunificha na mimi. Ndo baadae nikaja kugundua kumbe almost wote wana tabia za show off. Ofcourse wanaweza kutofautiana aina ya show off na extent ya kujishow off (I mean coverage, media etc), lakini wote wana some sort of show off na wote wanapenda kushow off, ni vile tu unakuta wengi hawana kitu ambacho ni appealing.

Ndo kukundua kumbe I was trying to suppress nature!! kitu ambacho ni kigumu sana. What i do nowdays I try to manage nature, yaani na-control extent ya show off baasi. Lakini kusema eti ataacha kabisa show off aaaah wapi bana!! awe tu hana kitu outstanding cha kushow off labda.

cc @brenda18 @housegirl @missyrose @miss chagga

Hivi @atoto uko wapi lakini, miss u much my sister!! you are not at home, you are not at work, you are not at church ,where are you now? have you moved back to @Kaboom ? or you ar with ur shemdarling @sumbai and ur young sis @cute b
kheee kumbe ngoja nijiandae kisaikolojia nikiambiwa na najishow off
 
Mweee sasa mbona leo kila mtu anayekuwa quoted naona ana ka - avatar kangu?
 
Hapana sina account fb na Insta hakuna pic zangu,hata hao followers hawajui wanamfollow nani,sio mpenz wa kushare vitu naweza kweli nikapiga nikinunua kiatu kipya ila nisiwe na wazo la kuupload pics
Lakini bado instagram ni for sharing pics,sioni tatizo kwa wanaofanya hivyo as long as in maisha yake

Kabisa though sifanyi ila siwashangai wafanyao hayo maana kila mtu anachagua namna ya kuishi na anavyoona inamfaa yeye, sasa kama afanyacho mwingine kinakukera basi fanya vikufurahishavyo wewe, huwezi furahisha kila mtu. Itakuwa vyema kila mtu akifanya yake, haya ya kufuatiliana taabu tupuu.

Mwenzako anafanya yake kivyakeee kumbe huku wewe unafurukutwa, shida yote yanini? Wawaache watu na maisha yao bwana.
 
Naona hapa umeongelea zaidi maisha ya Insta,utakubali tu hata wanaume wanafanya hivyo pia...
Hata hivyo hio app is for sharing your daily pics for memo,sioni tatizo hapo...tatizo lipo kwa huyo ex wako kuweka pics za kila mwanaume anaedate nae,sasa huo ni utoto ipo siku atakua ataacha
Hakuna shida mtu akipost pic yupo airport,au kwa bajaji au lunch sehem flani ndio maana halisi ya instagram if am not mistaken,tatizo ni mtu kutuonyesha fake life like akaazime gari lisilo la kwake au Nguo ili tu apost na ye tuone ni wa status flani hizo ndio show off za kitoto
If your gf alikuwa anapost pic zake za ukweli hakuna tatizo hapo japo kupost familia pia sijamwelewa
Dada hapo nimegusia mitandaoni tu kama insta, ningebandika kila kitu ingekua ndefu sana. Mtu wa style ya show offs ina maana hata mtaani ananata sana. Shopping kidogo quality centre umepost, sijui umeenda mbalamwezi beach umepost aaah! Hata kama kushare picture sio kihivyo. Unakua kama celeb wakati tunaokufaham hata 200 hatufiki idadi yetu. Wacheni buuuaaaana hizo mambo
 
Kabisa though sifanyi ila siwashangai wafanyao hayo maana kila mtu anachagua namna ya kuishi na anavyoona inamfaa yeye, sasa kama afanyacho mwingine kinakukera basi fanya vikufurahishavyo wewe, huwezi furahisha kila mtu. Itakuwa vyema kila mtu akifanya yake, haya ya kufuatiliana taabu tupuu.

Mwenzako anafanya yake kivyakeee kumbe huku wewe unafurukutwa, shida yote yanini? Wawaache watu na maisha yao bwana.
Basi kwa maana hiyo mtoa mada aache watu waishi watakavyo. Hamna siri ndio maana mnamegwa, mnaachwa, na hata mkiolewa ndio zinajaa visa na kuonewa. Mtaitwa sana malaya kwa style hiyo. Nyie wenyewe hamfanyi halafu mnashauri wenzenu waendelee tu lol!

Halafu we @atoto mbaya
 
Unantafuta.. na majibu utayakuta huko kichochoroni JLW.. hapa vifaranga wengi na watoa ban juu.. Bila kuwasahahu maketekista na akina sista Yovita

Amina.
Twen'zetu kwenye chumba chetu cha kujidai
 
Mkuu, inabidi uelewe akili ya mwanamke...wengi wao huishi kwa fairy tales (maigizo), kwao kujisifia ama kujiweka juu ni muhimu sana shinda kujiheshimu na hawafikirii madhara ya baadaye itakuwaje. Mtu atapigwa pumbu na mume wa mtu dakika hii, atakwenda facebook kubandika kuwa kapata mume na watu wasubiri atatangaza ndoa hivi karibuni. Sasa jiulize, umepigwa pumbu tu ya dakika 20 mwanaume kishasahau, mwanamke anatangaza ndoa Facebook kwa wenzake. Who the hell does this? Yaani ukielewa akili ya mwanamke inavyo function utakuwa a movie director wa vituko kama mimi na maprofesa wenzangu....!

Note: Usimfikirie sana mwanamke kwani utakuwa na hasira nao, wachukulie jinsi walivyo ila usiendekeze umbea wao.
Mimi ni mwanamke na siko hivyo.... Wanawake wa kutangaza ndoa kabla ya kukubaliana maybe they're just desperate..... Ndo mtu wake wa kwanza?....Au hakui tu kila atakayekutana naye anategemea ndoa...
 
Tatizo mara nyingi mlio wengi wanawake hamfanyi mambo kwaajili yenu bali kwaajili ya wenzenu! Unakuta mtu anasema ana hitaji kuolewa lakini ukifatilia ni kwaajili ya kuwakomesha wengi au kuwaonesha marafiki kuwa ameolewa...
Mtu awezi olewa kwaajili ya kuonyesha wezake bali kuna umri ukifika lazima msichana anakuwa na matamanio na yy aolewe
@honeynkane ndio lakini sababu yao kubwa utasikia "wenzangu wote wanaolewa"....
@Ruttashobolwa is right.... With exception ya wadada wanaojielewa
 
Back
Top Bottom