King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Mie si-unfollow. Namfollow hadi rafiki yake @Kiranga mmoja hivi, ananikumbusha jinsi gani nimebarikiwa na nisijilalamishe kwa changamoto zinazonikabili 😛😛
Ni ulimbukeni tu na kutojielewa,kama huko Insta siwezi hata kuvumilia nawaunfollow tu...mtu mzima sasa sijui anashow off nini