kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Nashangaa sana pindi nikuwauliza wadada swali hili. Nawauliza wanapenda kuwa na mwanaume wa namna gani? Wengi unijibu awe mrefu, mwembamba, muelewa, anaye muogopa Mungu, anajiheshimu na bla bla nyingi. Nastajabu sana kwa nini huwa awasemi awe na pesa?
Wanaume wanao waelezea wapo mitaani kwao wenye sifa hizo na pengine zaidi ya wazisemazo. Wengi wao ni mafundi seremala, wauza genge, wapiga brush viatu nk. Ukweli ni kwamba vijana hao ambao wapo mitaanim kwao ni wale watakao waheshimu siku zote, watao wafurahisha na mahitaji yao nk.
Likini pamoja na sifa zote hizi za hawa vijana wazipendazo hawa wadada, pindi hawa vijana wakiwaomba watoke nao out asipo kunjuwa mdomo basi bahati imekuwa nzuri kwake.
Nawauliza nyinyi wadada, kwa nini huwa amsemagi awe na pesa!!!! Mnazunguka mbuyu tu.