Wadada ambao ndoa bado

Wadada ambao ndoa bado

wadada ukivuka miaka ya kuolewa,its predicted utachukua mtu sio wa saizi yako

nilijua ni msemo tu wa mtaani,kumbe kweli,

ni hivi....

tunapofanya mate selection,tunaexchange values...

vipi kila mmoja,ni vigezo gani anavileta mezani....

sasa hapo ndipo tunapodiffer...

wanawake tuna prefer mwanaume financially stable😎😎😎 na intelligent

wanaume wanaprefer wanawake wadogo kushinda wao na physically attractive

hivyo tunatrade kny soko la wachumba,lol...

hizi choices ziko essential kwenye reproduction,

its adaptive,

Men choose younger women as they are capable of producing offsprings that they want.....(najua mtanibishia ila ukweli ndio huo)😵😵

And women choose men who are financially established as they want to have confidence that their children will survive as he will provide for them/their protection......

Sasa basi,ukiwa msichana mdogo,uko kwenye reproduction peak utafuatwa na wengi,as you go slowly towards menopause value yako inashuka taratibu....😛😛😛😛😀😀😀😀....
Kudos,huwa unaandika unaandika vitu vyenye uhalisia mkubwa na maisha ya sasa.
I wish mbuzi katoliki wengine wanaotangaza umalaya wao humu wangejaliwa hata robo tu ya IQ yako,mahusiano mengi yangedumu.
 
hatuwezi kupingana na nature mkuu,na haya niliyosema hayata apply kwa kila mtu,mimi mwenyewe niko 30's bado sijaolewa,lol nahisi tunatakiwa tu compromise kidogo,hakuna mtu mkamilifu,usiwe choosy mkuu kantwe
Hahaaaa bila shaka saizi mtu akija na swaga za kukuoa lazima apige mzigo asiee.
Lkn mada yako ina ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom