Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Leo nna shida gan?Mbona nasoma vitu sielew??
Hahaha! Siku hazilingani.Leo nna shida gan?Mbona nasoma vitu sielew??
Haha kwa kweli mana kuna post nyingine huko nimesoma ni ndefu lakini sijaelewa hata kimojaHahaha! Siku hazilingani.
Labda usingizi pia wachangiaHaha kwa kweli mana kuna post nyingine huko nimesoma ni ndefu lakini sijaelewa hata kimoja
Naomba utie neno kuhusu mtazamo wako hapaDuu.
Very nice that you talk through experiencehatuwezi kupingana na nature mkuu,na haya niliyosema hayata apply kwa kila mtu,mimi mwenyewe niko 30's bado sijaolewa,lol nahisi tunatakiwa tu compromise kidogo,hakuna mtu mkamilifu,usiwe choosy mkuu kantwe
Naomba unipmhatuwezi kupingana na nature mkuu,na haya niliyosema hayata apply kwa kila mtu,mimi mwenyewe niko 30's bado sijaolewa,lol nahisi tunatakiwa tu compromise kidogo,hakuna mtu mkamilifu,usiwe choosy mkuu kantwe
Mie huwa nakuadmire sana kwa vile si mnatiki ila signature yako inaonnesha kuna pahala umekwazika. Lakini uloyasema ni sahihi asilimia zotewadada ukivuka miaka ya kuolewa,its predicted utachukua mtu sio wa saizi yako
nilijua ni msemo tu wa mtaani,kumbe kweli,
ni hivi....
tunapofanya mate selection,tunaexchange values...
vipi kila mmoja,ni vigezo gani anavileta mezani....
sasa hapo ndipo tunapodiffer...
wanawake tuna prefer mwanaume financially stable😎😎😎 na intelligent
wanaume wanaprefer wanawake wadogo kushinda wao na physically attractive
hivyo tunatrade kny soko la wachumba,lol...
hizi choices ziko essential kwenye reproduction,
its adaptive,
Men choose younger women as they are capable of producing offsprings that they want.....(najua mtanibishia ila ukweli ndio huo)😵😵
And women choose men who are financially established as they want to have confidence that their children will survive as he will provide for them/their protection......
Sasa basi,ukiwa msichana mdogo,uko kwenye reproduction peak utafuatwa na wengi,as you go slowly towards menopause value yako inashuka taratibu....😛😛😛😛😀😀😀😀....
Punguza masharti tufanye yetu. Unakuwa kama yule wa Mil. 500!hatuwezi kupingana na nature mkuu,na haya niliyosema hayata apply kwa kila mtu,mimi mwenyewe niko 30's bado sijaolewa,lol nahisi tunatakiwa tu compromise kidogo,hakuna mtu mkamilifu,usiwe choosy mkuu kantwe
Kwa hii comment yako nimekuelewa ulipokwazikahatuwezi kupingana na nature mkuu,na haya niliyosema hayata apply kwa kila mtu,mimi mwenyewe niko 30's bado sijaolewa,lol nahisi tunatakiwa tu compromise kidogo,hakuna mtu mkamilifu,usiwe choosy mkuu kantwe
Katika lipi sasa maana hapo yamezungumzwa mambo mawili.Naomba utie neno kuhusu mtazamo wako hapa
Tia neno yote au mojawapo utakalolichaguaKatika lipi sasa maana hapo yamezungumzwa mambo mawili.
Mkuu pisha hodi utakaribishwaNaomba unipm
Msimamo ni uleule.Tia neno yote au mojawapo utakalolichagua
Ndiyo naanza tatizo ukiwapm hawajibuMkuu pisha hodi utakaribishwa
SawaMsimamo ni uleule.
Ni bora ufanye hivyo ili usijibiwe kuliko na kusubiri yeye afanye, kumbuka hapa anaweza kutoiona comment yakoNdiyo naanza tatizo ukiwapm hawajibu