barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Wewe sio mimi kweli??kuna binti nilimpenda kwa dhati nimetongoza miaka miwili bila hata jibu la matumaini.Nilikuja kumuacha alivo nitamkia haya; "hivi wewe una uwezo wa kunitunza?;una hadhi yangu wewe?,kwa ela ipi ulo nayo?katongoze huko vijijini we sio type yangu"..
Ni kweli nilikua na maisha ya kawaida sana ila niliendelea ku jenga future yangu kwa ku fight na kua na nizamu ya pesa.
Alikua anapenda sana maisha ya juu.Baada ya miaka mitano nimekuja kutana nae ana watoto wawili na kanenepeana kuliko hata shilole.Siku nakutana nae nilikua na girlfriend wangu mzuri tuu sana (namsifia kweli kaumbwa) nikamtambulisha hapo hapo..Eti anasema nime muumiza kwa kumuonyesha wifi yake..Ata sina muda wa kumjibu