Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Aisee kama binadamu anashuka thamani basi tayari nimeshaanza kushuka
Ndo urudi kwa Samaritan ukajipendekeze ili akuokoe kabla hujaisha thamani kabisaAisee kama binadamu anashuka thamani basi tayari nimeshaanza kushuka
Ndo urudi kwa Samaritan ukajipendekeze ili akuokoe kabla hujaisha thamani kabisahahaaaKwa hiyo unashauri nini mtoa mada
hahaaaAna maana umri wako ukienda thamani yako inashuka punguza masharti....
Hivi sis wanaume hatunaga limit kwenye masuala ya umri. Maana kila siku naona dada zetu wanarushiwa mawe.wadada ukivuka miaka ya kuolewa,its predicted utachukua mtu sio wa saizi yako
nilijua ni msemo tu wa mtaani,kumbe kweli,
ni hivi....
tunapofanya mate selection,tunaexchange values...
vipi kila mmoja,ni vigezo gani anavileta mezani....
sasa hapo ndipo tunapodiffer...
wanawake tuna prefer mwanaume financially stable😎😎😎 na intelligent
wanaume wanaprefer wanawake wadogo kushinda wao na physically attractive
hivyo tunatrade kny soko la wachumba,lol...
hizi choices ziko essential kwenye reproduction,
its adaptive,
Men choose younger women as they are capable of producing offsprings that they want.....(najua mtanibishia ila ukweli ndio huo)😵😵
And women choose men who are financially established as they want to have confidence that their children will survive as he will provide for them/their protection......
Sasa basi,ukiwa msichana mdogo,uko kwenye reproduction peak utafuatwa na wengi,as you go slowly towards menopause value yako inashuka taratibu....😛😛😛😛😀😀😀😀....
Watakuja kupinga hapaTumebishana sana kwenye mada moja, nikasema kipaumbele cha wanawake kumkubali mwanaume ni pesa nikapingwa sana
Mada ya leo imenifanya nikuonee huruma, we rudi tu sitajigonga gonga kwake tena. Japo wanawake hatupendani kwa hili la kushuka thamani lazima tuhurumiane
Ukitaka Ndoa Njoo kwanguhatuwezi kupingana na nature mkuu,na haya niliyosema hayata apply kwa kila mtu,mimi mwenyewe niko 30's bado sijaolewa,lol nahisi tunatakiwa tu compromise kidogo,hakuna mtu mkamilifu,usiwe choosy mkuu kantwe
Simtaki tena![]()
![]()
Mada ya leo imenifanya nikuonee huruma, we rudi tu sitajigonga gonga kwake tena. Japo wanawake hatupendani kwa hili la kushuka thamani lazima tuhurumiane
![]()
Tumebishana sana kwenye mada moja, nikasema kipaumbele cha wanawake kumkubali mwanaume ni pesa nikapingwa sana
Tumekuelewa sana...sasa wee endelea na kuwekea wenzio vigezo akat wew vigezo vyako vnazid kupungua,..Mimi sio mchaguaji sana ila vigezo na masharti kuzingatiwakuna watu watasema sentensi yangu inajicontradict waambie sio lazima waelewe kila kitu