Wadada ambao ndoa bado

Wadada ambao ndoa bado

Sikila unacho amini nisahihi unapotoka nyumba au mtandaoni unaweza kupata wakwako chamsingi niumakini tu hata cc kunaakina mama kwenye mitandao nimatapeli balala
Naona unatia saund mjomba,hahahaha
 
Nataka katoto smart,,, tumeshatombana vyakutosha
Hahaha,..kwan jamaa akitoa znatoka nanii au upepo...au ndo full kinga,..yan umeshindwa hata kumtegeshea ,dada angu ni muda sasa wa kuchanganya na za kwako
 
kwahiyo unajaribu kusema nini mbona haueleweki binti?!

wanaume wakivuka age 40 hawaangalii offspring maam! kaa ujue hivyo!

kuchelewa kuolewa sio lazima uje uolewe na kiben 10.. lenga 43 mpaka 48 wapo kibao hawajaoa, tatizo lenu nyie mnajifungia sehemu moja hamtaki kuzunguka
na hao 40+ men hawaangalii umbo shape wanaangalia maturity na mwanamke wa kuishi nae kubadilishana mawazo na kuzeeka pamoja!

PS:
Mtu anaeshangilia maandamano ya tar 26 april 2018 simwelewi kabisaa huenda kichwani kumepunguka!
Ukishajiona unaangali mwanaume wa 40+ ujue ushashindwa pambano dada
 
Hahaha,..kwan jamaa akitoa znatoka nanii au upepo...au ndo full kinga,..yan umeshindwa hata kumtegeshea ,dada angu ni muda sasa wa kuchanganya na za kwako
At first,,,, We didn't plan... Inapendeza sana kila mmoja akiwa tayari na si kulazimisha au kutegesheana.. Pia tulipeana muda wa kuchunguzana ipasavyo kila mmoja aingie ndoani akiwa ameridhia thou gemu as usual...

Ni mambo ya umakini na kalenda tu I don't use any kinga

Pia uzuri ashanambia if it happens no problem and I believe in him.. Ila I just want him to be aware..

Cc Smart911
 
Mapenzi Yanaendana Na Umri Sasa Nyie Mnaotukataa Wapiga Debe Imekula Kwenu
 
kwahiyo unajaribu kusema nini mbona haueleweki binti?!

wanaume wakivuka age 40 hawaangalii offspring maam! kaa ujue hivyo!

kuchelewa kuolewa sio lazima uje uolewe na kiben 10.. lenga 43 mpaka 48 wapo kibao hawajaoa, tatizo lenu nyie mnajifungia sehemu moja hamtaki kuzunguka
na hao 40+ men hawaangalii umbo shape wanaangalia maturity na mwanamke wa kuishi nae kubadilishana mawazo na kuzeeka pamoja!

PS:
Mtu anaeshangilia maandamano ya tar 26 april 2018 simwelewi kabisaa huenda kichwani kumepunguka!

Umeanza vizuri, umeharibu mwisho hapo
 
kuna binti nilimpenda kwa dhati nimetongoza miaka miwili bila hata jibu la matumaini.Nilikuja kumuacha alivo nitamkia haya; "hivi wewe una uwezo wa kunitunza?;una hadhi yangu wewe?,kwa ela ipi ulo nayo?katongoze huko vijijini we sio type yangu"..

Ni kweli nilikua na maisha ya kawaida sana ila niliendelea ku jenga future yangu kwa ku fight na kua na nizamu ya pesa.
Alikua anapenda sana maisha ya juu.Baada ya miaka mitano nimekuja kutana nae ana watoto wawili na kanenepeana kuliko hata shilole.Siku nakutana nae nilikua na girlfriend wangu mzuri tuu sana (namsifia kweli kaumbwa) nikamtambulisha hapo hapo..Eti anasema nime muumiza kwa kumuonyesha wifi yake..Ata sina muda wa kumjibu
 
wadada ukivuka miaka ya kuolewa,its predicted utachukua mtu sio wa saizi yako

nilijua ni msemo tu wa mtaani,kumbe kweli,

ni hivi....

tunapofanya mate selection,tunaexchange values...

vipi kila mmoja,ni vigezo gani anavileta mezani....

sasa hapo ndipo tunapodiffer...

wanawake tuna prefer mwanaume financially stable😎😎😎 na intelligent

wanaume wanaprefer wanawake wadogo kushinda wao na physically attractive

hivyo tunatrade kny soko la wachumba,lol...

hizi choices ziko essential kwenye reproduction,

its adaptive,

Men choose younger women as they are capable of producing offsprings that they want.....(najua mtanibishia ila ukweli ndio huo)😵😵

And women choose men who are financially established as they want to have confidence that their children will survive as he will provide for them/their protection......

Sasa basi,ukiwa msichana mdogo,uko kwenye reproduction peak utafuatwa na wengi,as you go slowly towards menopause value yako inashuka taratibu....😛😛😛😛😀😀😀😀....
Sijaelewa kitu ila nafikiri sababu mimi ni mwanaume, jainihusu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom