Wadada: Acheni mahusiano na waume za watu

Wadada: Acheni mahusiano na waume za watu

1. Binadamu hatufanani, usidhani unachoona wewe sawa ni sawa kwa wote. Kila mtu ana kitu kimpacho furaha na unaweza usielewe.

2. Mwanaume kutaka kuonesha urijali kwa. kimada na kutomridhisha mkewe ni ulimbukeni.

3. Hao wanawake unaokutana nao wako peke yao ni wasioolewa ambao hata wasingekua wana uhusiano na waume za watu still wangekua peke yao.
Kuwa na mume wa mtu hakuzuii kuolewa. Kuna wanawake kibao kwenye ndoa wana mahusiano ya nje na wanaume wenye ndoa. Kawaida tu.

4. Nani kaingilia ndoa hapo? Mwanamke alienda kupiga hodi kumtaka mwanaume?
Mwanaume mwenyewe na uzinzi wake kaamua kuharibu ndoa yake. Muwaache hao wadada tuone kama watawafata kuwataka.

5. Afadhali umeongea na wanaume wenzio.

Kumbuka sio wote watakua wake, masuria nao wapo. Sio kila mtu anapenda kuwa na mume wa pekeake, kwenye ndoa kuna majukumu mengi wengine huyaona utumwa.
Kila mtu aheshimu uhuru wa mwenzake.

Ni kweli kwani hata mimi fuaraha yangu ni kukuona wewe tu, na I promise ukija hapa nyumbani nitakupikia, nitakubeba kwenda bafuni, na nitahakikisha hutoki chumbani maana wanaume wengine watakuona na kukurubuni wakikupata tu watakuacha Solemba huku ukinililia nikurudie name sitaki kuona unalia, hivyo usikubali kudanganyika kwani nitashindwa kukuvumilia.
 
Ila kuna watu wana mioyo aiseeee!!
Yaani unajua kabisa yule ni mume wa flani ila bado unatembea nae tu!! Mmmhhh!!
 
Kama kila mwanamke atakuwa na mme wake kuna wasichana kibao watakosa waume!
ku cheat ni sunna ati na waache waje kwetu wala usiwagombeze
 
Mi ukishakuwa Mme wa MTU first disqualification,I can't be an his option &his second choice,
 
Walio kwenye ndoa ndio wanaume wazuri/best candidate,
Bachelor wengi wapowapo tu hadi kitandan ni zero,
Duh kulalaleki kwa iyo midume ya watu ishakufumua vya kutosha
 
I salute you JF members,

Kuna baadhi ya Dada zetu wanarubuniwa kirahisi na waume za watu kwa tamaa zao za kupata hela na huduma zingine lukuki toka kwa wanaume za watu walio kwenye ndoa kuna athari kwa mwanaume anayejenga mahusiano nje ya ndoa pia kwa mwanamke anayejihusisha na waume za watu.baadhi ya athali hizo ni hizi.

1) Maisha ya wadada wa aina hii haya eleweki wanafuraha za mda mfupi na kujaa usiri mkubwa! Hawezi kuonyesha kwa jamii haya mahusiano yake ni siri!
matokeo ni kukosa heshima na fursa za
kujipatia wanaume wengine.

2) Wanasababisha waume za watu watumike sana nje ya ndoa kuliko kuonyesha ufanisi katika ndoa zao matokeo baadhi yao hushindwa kuwaridhisha wake zao!Takwimu zinaonyesha wanaume sita kati ya kumi kwa walioko kwenye ndoa wanamatatizo
ya nguvu za kiume.nguvu zote zinaishia kuonyesha urijali kwa wadada mtaani!

3) Kwenye social function huwezi kuta wadada wa aina hii wameambatana na hao waume za watu, matokeo ni kuishi maisha ya upweke.

4) Kukosekana kwa amani kwenye ndoa wanazoziingilia mpaka kuzivunja na kusababisha mateso na kusambala tisha familia za watu!

5) Wanaume tulieni njia huku kwingine waachieni wana wasio kwenye ndoa! Wadada, wanaume wasiooa wapo kibao mnajiingiza kubanana kwenye ndoa za watu acheni ujinga huo wa kupenda starehe za muda na kupoteza ujana wenu wapeni nafasi masela wajimegee na kutwaa hiyo mizigo jumla.

Karibuni.
nani asiyetaka kuwa kwenye mikono salama mkuu,ladies wanajiona wapo kwenye mikono salama kwa wanaume waliopo kwenye ndoa mkuu,kule hakuna stress kwanza anakuwa anamjua mmiliki halali
 
Teh, huwa nafurahi tu,no kama upo kwenye dunia nyingine,perfectionist or more of fairy tales,vizuri lakini....
I ain't perfect, na wala haitotokea siku nikawa perfect, naishi kwa neema tu just like anybody else. Kuwa kwangu against kitu fulani doesn't make me a saint either. Nipo dunia hii hii, Nimezaliwa hivi, nimelelewa hivi and even after going through shits,... still nimeamua niwe yule niliye leo.

It may sound/ look like a fairy tale to others, ila kwa HS this is her world, her definition, her ways, her rules....and even in my next birth, nitaomba niishi hivi hivi.
Haitotokea hata siku moja watu tukafanana jinsi tunavyowaza au kuishi. At a certain point kuna Vitu tutakubaliana na kuna wakati lazima tupishane. Kushangaana kupo ila mwisho wa siku inabidi tu tukubaliane kutokukubaliana coz kila mtu anafanya kile ambacho kinampa furaha, anachoona ni sawa kwake.
 
Easy...easy...naona umejielezea sana,it was a positive comment..pole dear
 
Back
Top Bottom