Wadada: Acheni mahusiano na waume za watu

Wadada: Acheni mahusiano na waume za watu

tatizo wanaume was
I salute you JF members,

Kuna baadhi ya Dada zetu wanarubuniwa kirahisi na waume za watu kwa tamaa zao za kupata hela na huduma zingine lukuki toka kwa wanaume za watu walio kwenye ndoa kuna athari kwa mwanaume anayejenga mahusiano nje ya ndoa pia kwa mwanamke anayejihusisha na waume za watu.baadhi ya athali hizo ni hizi.

1) Maisha ya wadada wa aina hii haya eleweki wanafuraha za mda mfupi na kujaa usiri mkubwa! Hawezi kuonyesha kwa jamii haya mahusiano yake ni siri!
matokeo ni kukosa heshima na fursa za
kujipatia wanaume wengine.

2) Wanasababisha waume za watu watumike sana nje ya ndoa kuliko kuonyesha ufanisi katika ndoa zao matokeo baadhi yao hushindwa kuwaridhisha wake zao!Takwimu zinaonyesha wanaume sita kati ya kumi kwa walioko kwenye ndoa wanamatatizo
ya nguvu za kiume.nguvu zote zinaishia kuonyesha urijali kwa wadada mtaani!

3) Kwenye social function huwezi kuta wadada wa aina hii wameambatana na hao waume za watu, matokeo ni kuishi maisha ya upweke.

4) Kukosekana kwa amani kwenye ndoa wanazoziingilia mpaka kuzivunja na kusababisha mateso na kusambala tisha familia za watu!

5) Wanaume tulieni njia huku kwingine waachieni wana wasio kwenye ndoa! Wadada, wanaume wasiooa wapo kibao mnajiingiza kubanana kwenye ndoa za watu acheni ujinga huo wa kupenda starehe za muda na kupoteza ujana wenu wapeni nafasi masela wajimegee na kutwaa hiyo mizigo jumla.

Karibuni.
tatizo liko kwa wanaume wasio oa,mara nyingi ni waharibifu wa kufanya hit and run na si watunzaji,thats why wadada wengi wanakimbilia kwa wanaume wenye ndoa
 
sasa wataka nimjibie mungu swali
? na ndo maana mungu akawaumba wenye tamaa za kutisha ki uhalisia wanaume hawatosheki hata siku moja na mwanamke mmoja najua mtapaza sauti hapa lakini ndo ukweli tunawaona na tunajua



mada hii ni ya kutunyanyasa maana nyi ndo mwaufwata wanawake iweje utukanye
sio wqnaume wote! wala sio wanawake wote.hiyo ni tabia ya mtu tu
 
Hit and run inasababishwa na wao pia sasa mtu anataka utatue matatizo ya ukoo wao mzima utaweza kweli hata kwa mshahara wa rais
 
umerudi kwa kishindo! unahalarisha haranu kuwa halali.'masulia' hiki ni.kipindi cha neema Agano la kale halina nafasi.ndoa ni ya mke na mume mmoja.labda kwa ndugu zangu islam ndio ruksa kuwa na zaidi ya mmoja,

Alikuja kutengua torati?
Wapi imeandikwa ni haramu?
Kilichokatazwa ni Mwanaume kutongoza mke wa mtu.
Zile Amri 10 zipo tangu Kutoka ila ndizo tunazoziishi hadi Ufunuo. Hizo sheria zenu mmejiwekea wenyewe aidha kwa kutojua tafsiri au kwa ugumu wa maisha.
Mume aoe kadiri awezavyo ila atimize wajibu wake kikamilifu.
 
Alikuja kutengua torati?
Wapi imeandikwa ni haramu?
Kilichokatazwa ni Mwanaume kutongoza mke wa mtu.
Zile Amri 10 zipo tangu Kutoka ila ndizo tunazoziishi hadi Ufunuo. Hizo sheria zenu mmejiwekea wenyewe aidha kwa kutojua tafsiri au kwa ugumu wa maisha.
Mume aoe kadiri awezavyo ila atimize wajibu wake kikamilifu.
amina
 
Kuna mrembo anachukuliwa na mume wa mtu ila wewe kakukataa??
 
Na nyie waume za watu acheni kuhangaika, tulieni na wake zenu.
 
Back
Top Bottom