Umeandika kwa uchungu sana.Hii ndiyo solution, wanaume waliooa wawe na hofu ya Mungu watulie na wake zao kwenye ndoa zao. Kila mtu awe responsible na maisha yake. Haiwezekani mwanaume ukaenda kuchepuka afu mwisho wa siku uanze kulaumu eti mchepuko umekuharibia ndoa. Mchepuko huo una ndoa na wewe hadi ukuimarishie ndoa yako? Mnajua kabisa hao wanawake wa nje wapo after benefits package afu still mnawafata. Mnategemea nini mwisho wa siku? Watu wapo kimaslahi afu nyie mnajipendekeza. Tulieni kwenye ndoa zenu.
Na nyie mnaopenda kuwa michepuko it's high time mgundue thamani yenu mtulie mpate wanaume wenu na kama familia mjenge za kwenu pia. Mbona kuna senior bachelors kibao na hela wanazo za kutosha tu, kawagandeni hao hao. Msiingilie nyumba za wenzenu. Afu how does it feel to be someone's second choice? eish
Khaaah kwani mkeo hana nido? Jisevie la mkeo hivyo vingine angalia tu usepe.Kweli Dada yangu! siku hizi mipasuo mpaka kifuani.nido unajisevia kwa macho!
Mmmh msijiendekeze.roho inakataa lkn mwili dhaifu.
Sasa tukatae kwani sisi hatutaki tamuu.nanyie msituhamasishe na kutukubalia
Na wanajua kuhudumia haooo, khaah mkitaka msitutongoze tu ndio dawa.Hahahaaa hopo chacha na ujizingatia wenye wake wana uzoefu kazini.
why unauliza anaishi dunia ganiHivi heaven sent unaishi dunia gani...imenibidi niulize leo,teh
KASOME TAARIFA YA SENSA NA MAKAZI YA 2002.I salute you JF members,
Kuna baadhi ya Dada zetu wanarubuniwa kirahisi na waume za watu kwa tamaa zao za kupata hela na huduma zingine lukuki toka kwa wanaume za watu walio kwenye ndoa kuna athari kwa mwanaume anayejenga mahusiano nje ya ndoa pia kwa mwanamke anayejihusisha na waume za watu.baadhi ya athali hizo ni hizi.
1) Maisha ya wadada wa aina hii haya eleweki wanafuraha za mda mfupi na kujaa usiri mkubwa! Hawezi kuonyesha kwa jamii haya mahusiano yake ni siri!
matokeo ni kukosa heshima na fursa za
kujipatia wanaume wengine.
2) Wanasababisha waume za watu watumike sana nje ya ndoa kuliko kuonyesha ufanisi katika ndoa zao matokeo baadhi yao hushindwa kuwaridhisha wake zao!Takwimu zinaonyesha wanaume sita kati ya kumi kwa walioko kwenye ndoa wanamatatizo
ya nguvu za kiume.nguvu zote zinaishia kuonyesha urijali kwa wadada mtaani!
3) Kwenye social function huwezi kuta wadada wa aina hii wameambatana na hao waume za watu, matokeo ni kuishi maisha ya upweke.
4) Kukosekana kwa amani kwenye ndoa wanazoziingilia mpaka kuzivunja na kusababisha mateso na kusambala tisha familia za watu!
5) Wanaume tulieni njia huku kwingine waachieni wana wasio kwenye ndoa! Wadada, wanaume wasiooa wapo kibao mnajiingiza kubanana kwenye ndoa za watu acheni ujinga huo wa kupenda starehe za muda na kupoteza ujana wenu wapeni nafasi masela wajimegee na kutwaa hiyo mizigo jumla.
Karibuni.
wanaumiza tu wanawake wenzao!Kila mtu anamaisha yake nakila mtu hufanya kile anataka.... Unaeza uwe kwenye ndoa moja bado ukapata mateso ya moyo....ndomana dadaz wamejigundulia kuwa ...ivo... Hawatak stres zakuletewa kondoms kwenye suruali....