Wadada: Acheni mahusiano na waume za watu

Hahahaaa! hii kali,performance kwa mabachelor ni zero!.sijawahi sikia hii kitu,kweli kua uyaone na kusikia.
INA MAANA BACHELORS WAMEBAKI KUNING'INIZA SURUALI? KAMA NDIVYO KAZI IPO...!!!
 
Khaah! Yaani watu wasipake wanja wala kutabasamu kisa utamtega mtu, hamuishi visingizio vya dhambi zenu.
Hata Adamu.alivyoulizwa na Mungu.kwanini alikula matunda ya mti wa waliokatazwa,alijibu ni Mwanamke uliyeniletea! lazima awepo wa kutupia lawama.
 
Haya kwakuwa hamkujifunza kuwa pamoja na kumsingizia Eve bado kila mtu alibeba mzigo wake, endeleeni tu maana moto wenu tutachomwa sisi.
 
Siungi mkono wadada kuutoka na wanaume wa watu;ila kila tatizo lina pande mbili!Wanawake wenye ndoa zao wanatakiwa wasimame kwenye nafasi zao na kutunza waume zao wasitoke!!
Unakuta mwanamke anaongea sana, wengine ni wachafu hajikeep smart kwa ajili ya mume wake .Na wengine mapenzi na attention haipo kwa mume wengi wanajali kazi zao na watoto zaidi wakati mume nae ananafasi yake!!! Ni mengi sana lakini hayo machache ni sababu tosha ya nwanaume kutafuta wadada wa nje.
Wananawake wengi (esp wa mjini) wanapenda sana mteremko sasa akikutana na mwanaume anaehitaji attention in exchange of luxury kwanini asimpe attention???
Unakuta mdada hana kazi/watoto...kwanini asishinde saloon kujioendesha???Na hata kama ni muongeaji kwanini asiwe mpole kwa masaa machache amfurahishe mume wa mtu apewe hela/maisha??
Nadhani dawa ya tatizo inaanza ndani kwa wanandoa wenyewe.Kila mtu akijua nafasi yake hao wadada hawatawasumbua!!
 
Hii ndiyo solution, wanaume waliooa wawe na hofu ya Mungu watulie na wake zao kwenye ndoa zao. Kila mtu awe responsible na maisha yake. Haiwezekani mwanaume ukaenda kuchepuka afu mwisho wa siku uanze kulaumu eti mchepuko umekuharibia ndoa. Mchepuko huo una ndoa na wewe hadi ukuimarishie ndoa yako? Mnajua kabisa hao wanawake wa nje wapo after benefits package afu still mnawafata. Mnategemea nini mwisho wa siku? Watu wapo kimaslahi afu nyie mnajipendekeza. Tulieni kwenye ndoa zenu.

Na nyie mnaopenda kuwa michepuko it's high time mgundue thamani yenu mtulie mpate wanaume wenu na kama familia mjenge za kwenu pia. Mbona kuna senior bachelors kibao na hela wanazo za kutosha tu, kawagandeni hao hao. Msiingilie nyumba za wenzenu. Afu how does it feel to be someone's second choice? eish
Mmh dada mchungaji ktka ubora wake, naona leo umeamua kutoa ya moyoni, yaani umetoa facts tupu, big up my sista
Najua Evelyn Salt kakusoma atakuwa kafurahi sana kwa huu ujumbe wako
 
Aah kukumbushana siku moja moja sio mbaya bwana semosi. Ndaga fijo
 
Siungi mkono wadada kuutoka na wanaume wa watu;ila kila tatizo lina pande mbili!Wanawake wenye ndoa zao wanatakiwa wasimame kwenye nafasi zao na kutunza waume zao wasitoke!!
Unakuta mwanamke anaongea sana, wengine ni wachafu hajikeep smart kwa ajili ya mume wake .Na wengine mapenzi na attention haipo kwa mume wengi wanajali kazi zao na watoto zaidi wakati mume nae ananafasi yake!!! Ni mengi sana lakini hayo machache ni sababu tosha ya nwanaume kutafuta wadada wa nje.
Wananawake wengi (esp wa mjini) wanapenda sana mteremko sasa akikutana na mwanaume anaehitaji attention in exchange of luxury kwanini asimpe attention???
Unakuta mdada hana kazi/watoto...kwanini asishinde saloon kujioendesha???Na hata kama ni muongeaji kwanini asiwe mpole kwa masaa machache amfurahishe mume wa mtu apewe hela/maisha??
Nadhani dawa ya tatizo inaanza ndani kwa wanandoa wenyewe.Kila mtu akijua nafasi yake hao wadada hawatawasumbua!!
Word,couldn't agree more than that...tatizo lipo kwa wanandoa,kama wanashindwa kulinda viapo walivyojiwekea wasilaumiwe wa Dada huko nje
 
Hii ndiyo solution, wanaume waliooa wawe na hofu ya Mungu watulie na wake zao kwenye ndoa zao. Kila mtu awe responsible na maisha yake. Haiwezekani mwanaume ukaenda kuchepuka afu mwisho wa siku uanze kulaumu eti mchepuko umekuharibia ndoa. Mchepuko huo una ndoa na wewe hadi ukuimarishie ndoa yako? Mnajua kabisa hao wanawake wa nje wapo after benefits package afu still mnawafata. Mnategemea nini mwisho wa siku? Watu wapo kimaslahi afu nyie mnajipendekeza. Tulieni kwenye ndoa zenu.

Na nyie mnaopenda kuwa michepuko it's high time mgundue thamani yenu mtulie mpate wanaume wenu na kama familia mjenge za kwenu pia. Mbona kuna senior bachelors kibao na hela wanazo za kutosha tu, kawagandeni hao hao. Msiingilie nyumba za wenzenu. Afu how does it feel to be someone's second choice? eish
I wish wangekusikiliza
 
Siungi mkono wadada kuutoka na wanaume wa watu;ila kila tatizo lina pande mbili!Wanawake wenye ndoa zao wanatakiwa wasimame kwenye nafasi zao na kutunza waume zao wasitoke!!
Unakuta mwanamke anaongea sana, wengine ni wachafu hajikeep smart kwa ajili ya mume wake .Na wengine mapenzi na attention haipo kwa mume wengi wanajali kazi zao na watoto zaidi wakati mume nae ananafasi yake!!! Ni mengi sana lakini hayo machache ni sababu tosha ya nwanaume kutafuta wadada wa nje.
Wananawake wengi (esp wa mjini) wanapenda sana mteremko sasa akikutana na mwanaume anaehitaji attention in exchange of luxury kwanini asimpe attention???
Unakuta mdada hana kazi/watoto...kwanini asishinde saloon kujioendesha???Na hata kama ni muongeaji kwanini asiwe mpole kwa masaa machache amfurahishe mume wa mtu apewe hela/maisha??
Nadhani dawa ya tatizo inaanza ndani kwa wanandoa wenyewe.Kila mtu akijua nafasi yake hao wadada hawatawasumbua!!
Wadada wa mjini wanajua kunasa waume za watu! wanafundishana kozi wakiwa saloon na wanawake wenzao.
 
Na wewe na ndoa yako unategeka vipi? Tegeka na ujilaumu mwenyewe usilaumu hao wadada wa mjini.
 
vitovu na maziwa mnayoacha wazi makusudi na mipaja nje unategemea nini?
 
Ziltan hiyo kali, kumbe Bachelor wengi ni mizigo kitandani!!!Daaah! Ndio maana wanaume walioko kwenye ndoa wamegeuka mabuzi,,,,wanawake wanalia vilio ambavyo ni laana kwa hao kina dada wanaoharibu ndoa za watu. Na pia nahisi pia vijana wengi hawapelekwi jandoni (kufundwa namna ya kuishi na mpenzi, kumridhisha mpenzi wako) jando zao ni za kisasa zaidi kumbe kunapelekea performance kuwa zero. Msaada unahitajika kwa vijana.....mnusuru ndoa za mama na dada zenu please!🙂
Yaani wewe kama ulikua kichwani mwangu tatizo lililopo ni vijana hawaendi jando bali wanatahiriwa jandu ina maana kubwa sana ona hivi sasa wanawake wamebeba jukumu la kutairi watoto wao tena vikiwa vichanga wakikuwa wanajiona kama walizaliwa hivyo inabidi jamii ibadilike vijana wapelekwe jandu miezi mitatu ndio watakua wanaume wa shoka
 
Kwa experience yangu wana ndoa ndio wana matatizo. Kwa kijana ambae hajaoa ni mara chache sana anaweza kumfuata mke wa mtu bila mke wa mtu kuanza kwa njia moja au nyingine. Na kwa wanaume waliooa wengi ndio waanzilishi wa mahusiano na mabinti huku wakijijua wameoa, yaani siku hizi ndio fasheni wanaume waliooa kutoka na mabinti wadogo especially wa chuo.
 
UTAKALO LIFANYIKE DUNIANI KAMA MBUNGUNI, UTUPE LEO....
 
vitovu na maziwa mnayoacha wazi makusudi na mipaja nje unategemea nini?
Wakati unaoa hukujua kama kuna wanawake watavaa hovyo kukutega? Na nyie pia mnawatega wake za watu kwa namna moja ama nyingine.
Narudia tena...Ndoa si kwa kila mtu ukiona huiwezi jua umeingia chaka..unatakiwa kufanya kitu kingine...ujiunge na Chaputa ama uwe unagonga yoyote tu anayekupitia. Malalamiko kama hayo hayatakuwepo.

Halafu kuna vitu binadamu tunalalamika tu lakini havitakuja kubadilika kamwe..wadada wategaji walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.

Solution ni wewe kujua maana ya ndoa, kumkubali mkeo kwa jinsi alivyo na kujitahidi kuzishinda tamaa ukishindwa yote basi utegwe na hao wadada (utajua mwenyewe) au kama vipi mwambie mkeo nae aweke wazi kitovu chake na maziwa yake.
 
Back
Top Bottom