wake za watu wapo baadhi wanaolazimika kutoka wakati waume zao wanashindwa kuwaridhisha ndo maana wanakimbilia serengeti boys! Wanaume ni nguvu ya uchumi inawapeleka kusaka vimwana ambao wapo tayari kuwakumbatia kupata ridhiki zao kwakuwa uhusiano na mume wa mtu upo kimaslahi kwa wadada sio mapenzi ya dhatiKwa experience yangu wana ndoa ndio wana matatizo. Kwa kijana ambae hajaoa ni mara chache sana anaweza kumfuata mke wa mtu bila mke wa mtu kuanza kwa njia moja au nyingine. Na kwa wanaume waliooa wengi ndio waanzilishi wa mahusiano na mabinti huku wakijijua wameoa, yaani siku hizi ndio fasheni wanaume waliooa kutoka na mabinti wadogo especially wa chuo.
Hii ni kaliWalio kwenye ndoa ndio wanaume wazuri/best candidate,
Bachelor wengi wapowapo tu hadi kitandan ni zero,
ExactlyWord,couldn't agree more than that...tatizo lipo kwa wanandoa,kama wanashindwa kulinda viapo walivyojiwekea wasilaumiwe wa Dada huko nje
Papuchi ni zao, wanatoa kwa raha zao..ww kinakuuma nini? Get life boy
Nyie ndio mtakuwa kuni Za hup motoHaya kwakuwa hamkujifunza kuwa pamoja na kumsingizia Eve bado kila mtu alibeba mzigo wake, endeleeni tu maana moto wenu tutachomwa sisi.