Anasubiri jibuUliza,au umeshajijibu..?
mkuu kama huo ni mhimili uweke ndani!.nenda bomani kajisajiliHivi unajua kuna wakati michepuko huzifanya baadhi ya ndoa kudumu sana? Chukulia mfano wa ndoa ambayo imetokea kwamba hawaridhishani katika tendo la ndoa, kitu pekee kitakachowafanya waendelee katika ndoa ni mchepuko, wadada msimsikilize mchochezi huyo mmekua mihimili ya ndoa kibao
Alafu mke wangu nimuachie nani? siwezi acha mke kwasababu ya mchepuko.mkuu kama huo ni mhimili uweke ndani!.nenda bomani kajisajili
umuachie houseboyAlafu mke wangu nimuachie nani?
hahahaha unatuchukia sana tu weweI salute you JF members,
Kuna baadhi ya Dada zetu wanarubuniwa kirahisi na waume za watu kwa tamaa zao za kupata hela na huduma zingine lukuki toka kwa wanaume za watu walio kwenye ndoa kuna athari kwa mwanaume anayejenga mahusiano nje ya ndoa pia kwa mwanamke anayejihusisha na waume za watu.baadhi ya athali hizo ni hizi.
1) Maisha ya wadada wa aina hii haya eleweki wanafuraha za mda mfupi na kujaa usiri mkubwa! Hawezi kuonyesha kwa jamii haya mahusiano yake ni siri!
matokeo ni kukosa heshima na fursa za
kujipatia wanaume wengine.
2) Wanasababisha waume za watu watumike sana nje ya ndoa kuliko kuonyesha ufanisi katika ndoa zao matokeo baadhi yao hushindwa kuwaridhisha wake zao!Takwimu zinaonyesha wanaume sita kati ya kumi kwa walioko kwenye ndoa wanamatatizo
ya nguvu za kiume.nguvu zote zinaishia kuonyesha urijali kwa wadada mtaani!
3) Kwenye social function huwezi kuta wadada wa aina hii wameambatana na hao waume za watu, matokeo ni kuishi maisha ya upweke.
4) Kukosekana kwa amani kwenye ndoa wanazoziingilia mpaka kuzivunja na kusababisha mateso na kusambala tisha familia za watu!
5) Wanaume tulieni njia huku kwingine waachieni wana wasio kwenye ndoa! Wadada, wanaume wasiooa wapo kibao mnajiingiza kubanana kwenye ndoa za watu acheni ujinga huo wa kupenda starehe za muda na kupoteza ujana wenu wapeni nafasi masela wajimegee na kutwaa hiyo mizigo jumla.
Karibuni.
Hahaaa no thanks, mke anaumaumuachie houseboy
ha haha hata mume anaumaHahaaa no thanks, mke anauma
Haha haa haaaaaaaha haha hata mume anauma
hapana sasa mwenzie kwani hana hisia??miss chaga mtata!
Kwani Shingapi? nishindwe kula raha kwasababu ya vilaki viwili vitatu?hata michopuko inajua kuwa mnapiga na kusepa ndo maana kila ukienda unarudi na bill au invoice pamoja na kuitwa buzi.
sasa wataka nimjibie mungu swaliMungu hakuona kuwa mko wachache?!!
Thanks!!sawa mkuu kula kitu roho inapenda.
Nchi gani hiyo waume na wake za watu wanajiheshimu nihamie?kweli mkuu.lakini nchi za zingine angalau waume na wake za watu wanajiheshimu na kuona ni kinyume cha maadili.Bongo inaonekana ni ujanja! badala ya undezi.kwa wadada kuingilia ndoa za watu na kujipa haki miliki kuliko hata mwenye mume!