Wadada acheni kunywa pombe

Wadada acheni kunywa pombe

Ulifikwa nini mjomba? Hii kali sijawahi isikia ila umesahau kuwa tumezaliwa tofauti kila mtu ana hila zake!
Hahaha acha kabisa mkuu, Uzuri siku hio tulipiga nae tungi kwenye bar tuliyojenga Jina so hatukua na wasiwasi hata tungeishiwa tungeleta hela next tym,so mshkaji m1 tuliyekua nae Meza 1 alimbamba huyo demu kwenye korido ya kwenda toilet yuko analamba blueband afu analamba fasta fasta kinoma. Ndo tukajua siri ya mafanikio yake mkuu
 
Hahaha umenichekesha. Jamani mbona mie nakunywa konyagi nalewa hadi wananibeba, ila ni mstaarabu sana tu. Kwanza nikipiga vyombo naongea kingereza kwa ufasaha zaidi na jicho nyanya.
At least mwanamke inapendeza apige wine hata akilewa kwa kunywa wine bado thamani yake haitapotea maana kuna maneno yanayomtoka mlevi wa wine na kuna maneno yanayomtoka mlevi wa konyagi so maneno ya wine most of the time yanakuwa romantic like darling nimelewa nataka kulala, mwanamke alielewa kwa konyagi ye huwa harsh tu like we boya nimelewa nipeleke hme ama nikuamshie..
 
ila mademu wa siku hizi wanapiga konyagi!!!
 
unaongea kisungu! safi sana.
 
Hahaha acha kabisa mkuu, Uzuri siku hio tulipiga nae tungi kwenye bar tuliyojenga Jina so hatukua na wasiwasi hata tungeishiwa tungeleta hela next tym,so mshkaji m1 tuliyekua nae Meza 1 alimbamba huyo demu kwenye korido ya kwenda toilet yuko analamba blueband afu analamba fasta fasta kinoma. Ndo tukajua siri ya mafanikio yake mkuu

Never knew...sasa ni analamba au anabugia kikopo kizima ?? Vibweka vingine hivi. Hahaha
 
Hehehe si ndio kwenda kisasa? Wameshagundua hailipi kujifanya decent. Mnapiga monde hadi saa tisa alfajiri haooo mnarudi zenu home. Ndege wanaofanana wakiruka pamoja inapendeza sana
ila mademu wa siku hizi wanapiga konyagi!!!
 
Hehehe si ndio kwenda kisasa? Wameshagundua hailipi kujifanya decent. Mnapiga monde hadi saa tisa alfajiri haooo mnarudi zenu home. Ndege wanaofanana wakiruka pamoja inapendeza sana
Sasa siku hiz wengi unakuta wapo wenyewe ki group cha mademu watatu/wanne wanakula konyagi kubwa mpaka unashtuka!
 
Bora mwanamke asiepretend kuliko anaejifanya hanywi pombe kumbe anaficha kwenye pochi.

Ndio mabadiliko ya tabia nchi hayo. Mi nashukuru mungu niko fainali ya uzeeni sasa. Nimeokoka manake naogopa kisukari na presha.
Sasa siku hiz wengi unakuta wapo wenyewe ki group cha mademu watatu/wanne wanakula konyagi kubwa mpaka unashtuka!
 
Mimi Mwanamke Mlevi Nitamgonga Tu Na Kumuacha.
Siwezi Kuwa Na Future Naye.
Kwanza OFA Anaweza Akaenda Kupewa Ofa Huko Na Watu Na Kwa Akili Zake Za Pombe Anaenda Eti Wanajidanganya Kunywa Tu. Mxieeeeeeew! Asipogongwa Siku Iyo Kuna Siku Nyingine Na Nyingine Au Atakuwa Anatengenezewa Mazingira Ya Kuzoeana Sana Na Hao Walevi Wenzake.
Wangapi Wanagongwa Kwa Kunyweshwa Pombe.
Utasikia Mm Ninunulie Redds Tano Tu Unanigonga. There Are Too Many Risks Associated With Women Who Drink Irresponsibly.
Wengine Huanza Kumwaga Radhi Na Kufanya Ujinga Na Kutia Aibu.
Unakuta Huyo Ndo Mama Wa Familia.
Sisemi Kama Pombe Nzuri Kwa Wanaume, NO Zina Madhara Ila Kwa Mwanamke Bi Mara Laki 8
 
Chukua likes 5000.
 
Kwa hiyo wakinywa wanawake vibaya, wakinywa wanaume sawa?
 
At least mwanamke inapendeza apige wine hata akilewa kwa kunywa wine bado thamani yake haitapotea maana kuna maneno yanayomtoka mlevi wa wine na kuna maneno yanayomtoka mlevi wa konyagi so maneno ya wine most of the time yanakuwa romantic like darling nimelewa nataka kulala, mwanamke alielewa kwa konyagi ye huwa harsh tu like we boya nimelewa nipeleke hme ama nikuamshie..
Vp kuhusu whisky?? Iz ambazo n expensive cyo konyagi au grants..like henessy,JD, etc
 
Back
Top Bottom