ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,802
- 60,648
Acha uchoyo mtoa mada
Dont generalize problems za dem wako! Kama yeye chupi chini akilewa wengine tunajimudu!Na wa dizain hiyo hujue gusa unate, wanawake wanaotumia kilev niwepes xna kuvua chup!!!! Hata awe mke WA mtu atavua baadaye atajidai Akil imemrud ila wanananiliwa hivyo xna hata awe Dr flan.
si zinahamia down ndo shida inaanzia hapoNa wengine wakishalewa hawachagua, yoyote twende...
Pombe hatuachi, nini wine dompo buku ten hiyo buku ten nimekunywa viroba jogoo 10 na chenji napewa.... Tafadhali tena tafadhali sana
Sema hakiyamungu…Pombe hatuachi, nini wine dompo buku ten hiyo buku ten nimekunywa viroba jogoo 10 na chenji napewa.... Tafadhali tena tafadhali sana