data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,945
- 23,891
Baadhi ya wanaume wanatumia njia ya kulewesha mwanamke ili amgonge kirahisi mitandao yote! vizuri busara itumike mwanamke anapokunywa na njemba kama hizi zenye nia ovu.
Na ndio raha yenyewe hiyo.
Baadhi ya wanaume wanatumia njia ya kulewesha mwanamke ili amgonge kirahisi mitandao yote! vizuri busara itumike mwanamke anapokunywa na njemba kama hizi zenye nia ovu.
Unafahamu radhi ni nini?Radhi kwa mwanamke.
OwkyThubutuuuu!!!
Unafahamu radhi ni nini?
Mkuu umewahi kusikia wapi "mwanaume kamwaga radhi"?
Laana ya utupu ipo kwa mwanamke na si mwanaume.
Unaamini katika laana ya utupu?
Kumwaga radhi kwa nini kuwepo kwa mwanamke tu lakini si kwa mwanamme?
Unabisha kitu ambacho hujui.* Ndio.
*Hata mimi sijui.
Unabisha kitu ambacho hujui.
Dhana nzima ya kumwaga radhi kwa kuvua nguo ni metaphorical kuliko actual.nipatie kesi moja tu ambayo imewahi ripotiwa "mwanaume amwaga radhi."
hakuna mahala nimebisha.
Sawa hata km constructive,una nini na wanawake lakini,em tuweke wazi hapamkuu angalia mada na uijadili.ukiniangalia mimi na post zangu utapotea.this topic is constructive kwao
Mbona unanuna sasa,what did she do to you??non sense.sipangiwi issue ya kupost na.mtu.kama huna hoja juu ya topic ipotezee.sio lazima kila topic ucomment.