[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Greetings member,
Kuna baadhi ya wanawake, walio kwenye ndoa na wanaosubiri posa wanakunywa
pombe kama wanaume! Wanaenda kwenye mabaa, wanapiga vyombo vizito wengine hata wanaume hatuwafikii utakuta mwanamke anakunywa bia safari lager ina calories kibao, matokeo anapata kitambi na kupoteza shape.
Wanawake ni maua mnatakiwa mjipende tunzeni shape zenu, kunyweni kwa staha,
acheni ulevi familia zinawategemea mwanamke akiwa mlevi thamani yake
katika jamii inatoweka.
Wanaume ni watu wa kuwahangaikia wanawake na familia mda mwingi wana kuwa na stress wanafikiri wakinywa ndio tibia, japo wanaishia kuharibikiwa zaidi hawa wengi wao ni wazoefu hata wakinywa anafika nyumbani salama hata gari anaendesha lakini mdada ni shida akilewa.
Wadada punguzeni kinywaji, fanya mazoezi kidogo utafurahia mema ya nchi.
Niwatakie week end njema ulevi ni nouma.
Sizimi mm ndo nina control Pombe so yenyewe inicontrolkwa raha zako! angalia usizime hapohapo counter
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] nipo bed now Pombe only Friday, SaturdayHahahaaa kama nakuona! 'nani kamwaga pombe yangu? nauliza'
Hakuna kitu kama hichoSizimi mm ndo nina control Pombe so yenyewe inicontrol
Hizi zinaongeza sana nyegge.. Flora shauri yake achana na hizi makitu utakuja kubaka shauri yako[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]![]()
![]()
MI napiga hizi pamoja na safari castle[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Tatizo mwanamke akinywa ikimpanda kichwani anaweza akamwaga radhi ikawa tafrani.Kwa hiyo wakinywa wanawake vibaya, wakinywa wanaume sawa?
Kipo nakunywa Pombe toka utoto ni na ndiyo starehe yangu we Bisha siwez kukulazimishaHakuna kitu kama hicho
Siwez na hizi zinanipa ujasiri hawez kunigusa Mpaka Ziishe kichwaniHizi zinaongeza sana nyegge.. Flora shauri yake achana na hizi makitu utakuja kubaka shauri yako
Thubutuuuu!!!Siwez na hizi zinanipa ujasiri hawez kunigusa Mpaka Ziishe kichwani
Meanamme akinywa ikampanda lichwani akamwaga radhi haiwi tafrani?Tatizo mwanamke akinywa ikimpanda kichwani anaweza akamwaga radhi ikawa tafrani.
Meanamme akinywa ikampanda lichwani akamwaga radhi haiwi tafrani?
Kwa kanuni gani?Mwanamme hamwagi radhi.
Kwa kanuni gani?