Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
Duuh..Viroba!!!You ril need some church mpendwaPombe hatuachi, nini wine dompo buku ten hiyo buku ten nimekunywa viroba jogoo 10 na chenji napewa.... Tafadhali tena tafadhali sana
Duuh..Viroba!!!You ril need some church mpendwaPombe hatuachi, nini wine dompo buku ten hiyo buku ten nimekunywa viroba jogoo 10 na chenji napewa.... Tafadhali tena tafadhali sana
Bora Double Punch za malawi!Duuh..Viroba!!!You ril need some church mpendwa
Ndo unapiga hizo?...Acha bana zitakuzeesha..Bora uendelee na light tuBora Double Punch za malawi!
Viroba vya maji mpendwa (maji ya kandoro) we umedhani nini?Duuh..Viroba!!!You ril need some church mpendwa
Tutaanzaje kukuacha, bila wewe vyombo havipigiki freshiHata mimi msiniache
Teh teh..chizi ww..Ndo hayo hayo..Kumbe Ndo mana sauti yako kwenye kwaya siielewi siku hiziViroba vya maji mpendwa (maji ya kandoro) we umedhani nini?
Wanataka nao waonekane vidume.hawajari chochote.wengi wanaofikia hatua ya kulewa ni waliopinda.Na wanawake wakilewa wanatoa MATUSI MABAYA sana, sijui kwa nini?! Kuna Bar huwa naenda kuangalia MPIRA, yaani wakilewa huwa natamani kuondoka.
unabahati mkuu ungeweza kulewa wewe yeye akawa mkavu! wanawake wengine balaa.
Muwe mnawakagua kwenye mapochi yao,wanatembea na blueband kwenye pochi zao wakianza kulewa wanaenda toilet wanailamba kiasi. Akirudi kwenye Meza yuko fresh pombe yote imekataNakumbuka kuna mtoto flan nilimtoa out nikitegemea atakunywa chupa kadhaa atalewa baadae nikapige show. Basi yule mwanamke akawa anabugia pombe kama ngamia alaf halilewi sasa. Nilimind kweli na ile bill acha tu. Lol
mmoja nilitoka naye kahitaji wine nikanunua chupa.ilivyofutika sikuamini!.Wine sio ya kunywa kasi kama maji! binafsi.siimalizi hata kiafya haishauriwi! maksi za huyo Dada zilishuka graph faster.Acha tu wanawake wengine wanaonekana classic lakini ni wa melo mbayaa. Anataka akutie hasara on the first date. Tehe
mmoja nilitoka naye kahitaji wine nikanunua chupa.ilivyofutika sikuamini!.Wine sio ya kunywa kasi kama maji! binafsi.siimalizi hata kiafya haishauriwi! maksi za huyo Dada zilishuka graph faster.
Unawaharibia wanaume wasiojua kutongoza, wanasubiri dem alewe ambakeGreetings member
kuna baadhi ya wanawake,walio kwenye
ndoa na wanaosubiri posa.wanakunywa
pombe kama wanaume! wanaenda kwenye mabaa,wanapiga vyombo vizito wengine hata wanaume hatuwafikii.
utakuta mwanamke anakunywa bia safari lager ina calories kibao,matokeo
anapata kitambi na kupoteza shape.
Wanawake ni Maua mnatakiwa mjipende
tunzeni shape zenu,kunyweni kwa staha.
acheni ulevi familia zinawategemea. mwanamke akiwa mlevi thamani yake
katika jamii inatoweka.
Wanaume ni watu wa kuwahangaikia
wanawake na familia.mda mwingi wana
kuwa na stress wanafikiri wakinywa ndio
tiba.japo wanaishia kuharibikiwa zaidi.
hawa wengi wao ni wazoefu hata wakinywa anafika nyumbani salama hata gari anaendesha.lakini mdada ni shi
da akilewa.
Wadada punguzeni kinywaji,fanya mazoezi kidogo.utafurahia mema ya nchi.
Niwatakie week end njema.ulevi ni nouma.
mkuu angalia mada na uijadili.ukiniangalia mimi na post zangu utapotea.this topic is constructive kwao
Nikiwa doria bby! Ila ntaachaNdo unapiga hizo?...Acha bana zitakuzeesha..Bora uendelee na light tu
Ulifikwa nini mjomba? Hii kali sijawahi isikia ila umesahau kuwa tumezaliwa tofauti kila mtu ana hila zake!Muwe mnawakagua kwenye mapochi yao,wanatembea na blueband kwenye pochi zao wakianza kulewa wanaenda toilet wanailamba kiasi. Akirudi kwenye Meza yuko fresh pombe yote imekata