Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
He he he, pole Mau.
Hii sio tabia wala kujifanya ndivyo ilivyo.
Final touches, itabidi tu uzoee
Utajuaje kuwa how beautiful she is.
Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari hamna tinted unabaki unajikunjakunja uwe mdogo ili usionekane sababu kwenye gari nyingine wote wanakukodolea macho wewe . Tuacheni hii sio poa.

Maundumula na wewe jamani hayo ni mambo yanayomtofautisha mwanamke na mwanaume...potezea tu
pole sana mkuu ndo maana wajapani wameweka kioo cha kujiangalia kwenye kile kidude cha kuzuia jua upande wa abiria ndo kazi zake hizo..
Ni element za umasikini kutokujali muda,na ulimbukeni
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
yawezekana wewe uummoja wao hao wadada wakujihakikishia..