Wadada acheni hii kitu

Wadada acheni hii kitu

mwambie aje geto kuchukua laki.
na akija kavaa pedi yake feki mwambie pedi kila mtu anaweza kuvaa unamuonyesha na wewe umevaa ya mfano.
Ila hii dunia nisipokuwa makini mbingu siioni. Kuna vitu vyq kijinga kama hiki unacheka kwa sauti. Baadae nagundua ni uovu kabisa. Ushindwe, shindwa
 
Ndio muende huko sio kutoa tu viji hela vyenu mnataka ngono ujue mapenzi ni hisia zaidi, ka mnaona hela inauma nunueni machangu hayo yakupiga deki mtajiju wallah, sasa hela ndogo tu masimango na wanawake huwa tunajua loh
Mapenzi ni hisia zaidi una maanisha Nini?,kwa hiyo Mimi natoa hela na we unakuwa hauna hisia na Mimi na lini utapata hisia na mimi
 
dah hii yangu Mimi imenitokea kabisa halafu ipo Kama ya huyu huyu na demu nayy anauza duka baada ya kumpa akaniambia Hana hisia na mimi
Mzee baba kuna kademu nimejuana nacho ata wiki aijapita kanitia mzinga wa simu anataka smart phone nikampanga nkamwambia ucjal utapata tu siku si nyingi sijakaa sawa kanipiga mzinga wa buku kumi yani hapo ata mzigo bado sijaomba Yan ni balaa
 
hatari sijui Nani mentor wao yaani ukiwapenda vizinga tu, usipowapa Sina hisia na wewe eti
 
hatari sijui Nani mentor wao yaani ukiwapenda vizinga tu, usipowapa Sina hisia na wewe eti
duh totozi hizi ni shida sana aisee sema ngoja tutoe tu mpunga la sivyo utengeneze papuchi yako ya udongo uwe unait*mba ahahahahahhahaha
 
duh totozi hizi ni shida sana aisee sema ngoja tutoe tu mpunga la sivyo utengeneze papuchi yako ya udongo uwe unait*mba ahahahahahhahaha
sure Kaka ila Kuna wenzetu wanatusagia kunguni tukitoa kelele tu
 
Mmoja hakujua mm mtu mbadi akanilia vihela kama kilo viten ten siku akaomba 50k nkamchana kama nan akasema mm bby ake wiki 2 ananizungusha ,roho ya kuzaliwa tandale ikanitoka nkamwita mahali ile kaenda choon nkasepa na simu yake i phone 8 ,kupiga nkamwambia namtuma boda mpe 150k yangu nkupe simu akaanxa ooh huna subira nkamwambia naona hauko serious nkazima yangu na yake 4 hrs kuwasha simu sms mtume toyo achukue nkamtuma akapewa nkamrudishia cm yake
 
Kuna dada nilikutana naye mtaani nikaona anafaa kwa chakula. Nikamwomba namba nikawa nachati naye kama mwezi hivi nikaweka ombi langu akakubali. Issue ikawa kutoa mzigo kila mkipanga ratiba anarukaruka tu.

Kuna siku akawa na shida ya laki 1. Nikasema nampelekea bila ya taarifa dukani kwake. Nilipofika sikumkuta ila nilikuta wadada wawili. Nikawaambia naondoka akirudi mtampa taarifa. Ukweli sikuondoka nikatulia nje ila wao hawajui. Nikasikia " MASKINI HUYU KAKA ANALIWA HELA ZAKE NA MZIGO HATAPEWA"

Nilistuka nikiwaza hela niliyotoa ndani ya huo mwezi sio chini ya 80,000/=
Kimya kimya nikaondoka na laki yangu, 20000 nikachoma mbuz iliyobaki nikamtumia mama kijijini.

Tahadhari:
WANAUME WENGINE HELA YAO HAILIWI KIRAHISI. MIMI NIMEPOTEZEA ILA SIO KILA MTU ANAMWACHIA MUNGU. MTABAKWA AU MTAPIGWA MTUNGO AU KUFANYIWA KITU KIBAYA. USILE HELA YA MTU KAMA HUMPENDI.
Mkuu hawa Dada zetu nawahurumiaga tu maana hakili zao hazipo Sawa zinachenji after time
 
Sema mi nikiona Mtu anaweza kutongoza mtu barabarani hivi namuona bingwa asee yaan mi nina aibu mpaka kwenye njia kukiwa na wanawake watatu siwez pita hyo njia kwa amanii Em nipen plan wadau hizi aibu ziondokee😞
 
Mmoja hakujua mm mtu mbadi akanilia vihela kama kilo viten ten siku akaomba 50k nkamchana kama nan akasema mm bby ake wiki 2 ananizungusha ,roho ya kuzaliwa tandale ikanitoka nkamwita mahali ile kaenda choon nkasepa na simu yake i phone 8 ,kupiga nkamwambia namtuma boda mpe 150k yangu nkupe simu akaanxa ooh huna subira nkamwambia naona hauko serious nkazima yangu na yake 4 hrs kuwasha simu sms mtume toyo achukue nkamtuma akapewa nkamrudishia cm yake
legend mwenyewe
 
Mkuu unaanzaje kutoa pesa kwa hawa wadada wadangaji, binafsi mwanamke akifanikiwa kula pesa yangu nitamtindua vya kutosha
Yaan unamnufaisha mara mbili anakula hela na bado unahenyeka kumfurahisha.
 
Mmoja hakujua mm mtu mbadi akanilia vihela kama kilo viten ten siku akaomba 50k nkamchana kama nan akasema mm bby ake wiki 2 ananizungusha ,roho ya kuzaliwa tandale ikanitoka nkamwita mahali ile kaenda choon nkasepa na simu yake i phone 8 ,kupiga nkamwambia namtuma boda mpe 150k yangu nkupe simu akaanxa ooh huna subira nkamwambia naona hauko serious nkazima yangu na yake 4 hrs kuwasha simu sms mtume toyo achukue nkamtuma akapewa nkamrudishia cm yake
mwamba umetuwakilisha vizuri. hongera, dharau za kijinga
 
Sema mi nikiona Mtu anaweza kutongoza mtu barabarani hivi namuona bingwa asee yaan mi nina aibu mpaka kwenye njia kukiwa na wanawake watatu siwez pita hyo njia kwa amanii Em nipen plan wadau hizi aibu ziondokee
Siku kichupa kikijaa utajua tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom