Kwenye kuhonga kuna mawili lazima ujifunze, kuna kufanikiwa na kutofanikiwa. Usiwe na roho mbaya pale usipofanikiwa, kwani hata mwizi anamuomba Mungu ambae ni huyo huyo unaemuomba wewe usiibiwe!!Mimi nikitaka changu kutoa sioni shida natenga kabisa fungu la kuhonga hadi nifanikiwe
Ndugu mjumbe, unahamasishaHilo Swali LA kitoto lisikutishe mzee
Wewe simama hapo hapo ukilegeza umeliwa anakaza Leo na wewe mpotezee utaona anakuja mwenyewe Mfano ni huyu siku ya kwanza alijibu shombo nikakausha Jana tu mwenyewe amekuja anaitaka hela yangu
Yani kaa ukijua hawa wote Malaya tu wanapishana viwango tu
![]()
down View attachment 1573981



Kuna mmoja kala hela yangu kama mara tatu na ikifika siku ya kutoa mzigo hapokei simu, nimempiga tego sasa hivi anatoka damu mfululizo karudi kijijini huko analiwa pesa na waganga na tatizo lipo pale pale![]()



Kwani na nyie wakaka Ina maana hamjui kutofautisha mtu anayekupenda na nayetaka hela zako?...a mnataka tuwape darasa Tena jamani?Usile hela ya mtu kama humpendi
Wanajifanya wajanja ila za mwizi 40 waswahili walisemaHii ni mbaya sana, Dem anakula hela af hataki kutoa unyevu
HahahaKwenye kuhonga kuna mawili lazima ujifunze, kuna kufanikiwa na kutofanikiwa. Usiwe na roho mbaya pale usipofanikiwa, kwani hata mwizi anamuomba Mungu ambae ni huyo huyo unaemuomba wewe usiibiwe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nadhani mnaojua kiinglish huwa hamchomi za Babu kumbe na nyie mpo eeeh?Sikia niwaambieni kitu kimoja....ukiona dem hakutaki ujue kuna yafuatayo
1. Huna Promising Future
2. Huna Hela
3. Huna Status (Yani Huna Maisha Flani Hivi Reasonable)
4. Huna Life Efforts (Sema Hii Matunda Significant Yawepo Otherwise Mbunye Hupewi)
U can be very average looking ila if u have any of the four mentioned above hamna dem mkali atakukataa....sema hulka / ulivyo ulivyo ina matter sanaa....a woman must feel safe with you mpaka akukubali.
Hata ukichoma dawa za babu ndio unakoleza penzi sasa. Ila uwe na sifa tajwa hapo juu kwanza tena top of the top usiwe na mambo ya kiswahili / ushamba.![]()
Kuna watu wanaoana wanaishi miaka 20 ya ndoa ila mmoja hampendi mwenzake na asiyependwa hajui. Binadamu ni complex sanaKwani na nyie wakaka Ina maana hamjui kutofautisha mtu anayekupenda na nayetaka hela zako?...a mnataka tuwape darasa Tena jamani?
Well!ulijiona mjanja na cheni bandioandio hivyo umempata mjanja mwenzio noti bandiaMimi mwenyewe sio kwamba nilikuwa na future naye hapana nilitaka kupita tu.
Hao mnaowapenda kweli kuleni hasa hela zao haina shida kabisaKwahiyo tunaruhusiwa kula pesa za watu tunaowapenda au siyo!!?🤔
Nakubali mzee wa kusafirisha vifurushi from town to maghettoni🤣🤣🤣Hilo Swali LA kitoto lisikutishe mzee
Wewe simama hapo hapo ukilegeza umeliwa anakaza Leo na wewe mpotezee utaona anakuja mwenyewe Mfano ni huyu siku ya kwanza alijibu shombo nikakausha Jana tu mwenyewe amekuja anaitaka hela yangu
Yani kaa ukijua hawa wote Malaya tu wanapishana viwango tu
![]()
down View attachment 1573981