mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,567
[emoji28][emoji28][emoji28]watu mna hela.
pesa nnayomvumilia mwanamke bila kumla ni buku ya vocha,hata akisema nitume nauli,huwa namwambia kopa utaikuta huku.
mwenye nia hawezi kuacha kuja au atoe visingizio vingine,na namheshimu sana mwanamke anaye keep promise,hata kama ni mchafu huwa namheshimu sana.